Huu ndio mfano unaoonesha dhahiri hata mambo huko Law School huendeshwa kisiasa, kwa hali hii ndipo malalamiko ya kufaulu kwa kujuana, rushwa, yanazidi kupata nafasi.
Hili nilianza kulitilia shaka baada ya waziri Dr. Ndumbaro kuunda kamati huku tayari akiwa na majibu ya kile kilichomfanya aunde kamati, kama waziri aliamini ufaulu wa LST unaridhisha, basi pasingekuwepo na lolote la maana.
Lakini kiuhalisia ni ujinga tu kuamini kwamba pale LST wanaofaulu ni wale wenye ufaulu mzuri, ikiwa siasa za CCM zinapewa nafasi mpaka huko, kuficha uozo.
Kuogopa watu kutoa maoni yao ni uoga wa ajabu kabisa, ikiwa wangeweza kuyapokea hayo maoni na wasiyafanyie kazi kama kawaida yao.
Kwa majibu haya wanaonesha vile wanastahili kutiliwa shaka kwenye utendaji wao.Ukienda LST sasa hivi ukahoji jambo, mfano, kujua kama wamekubali kurejesha booklets kwa wanafunzi wanaohitaji kuziona, wanakujibu, umekuja kutujaribu sio, hatukupi na nenda kalalamike kokote unakotaka.
Vijana someni, someni acheni kwenda vyuoni na kuuza sura.Huu ndio mfano unaoonesha dhahiri hata mambo huko Law School huendeshwa kisiasa, kwa hali hii ndipo malalamiko ya kufaulu kwa kujuana, rushwa, yanazidi kupata nafasi.
Hili nilianza kulitilia shaka baada ya waziri Dr. Ndumbaro kuunda kamati huku tayari akiwa na majibu ya kile kilichomfanya aunde kamati, kama waziri aliamini ufaulu wa LST unaridhisha, basi pasingekuwepo na lolote la maana.
Lakini kiuhalisia ni ujinga tu kuamini kwamba pale LST wanaofaulu ni wale wenye ufaulu mzuri, ikiwa siasa za CCM zinapewa nafasi mpaka huko, kuficha uozo.
Kuogopa watu kutoa maoni yao ni uoga wa ajabu kabisa, ikiwa wangeweza kuyapokea hayo maoni na wasiyafanyie kazi kama kawaida yao.
Vijana wa siku hizi hawataki taabu wanataka mtelezo ili wapate ajira fasta. ndio maana leo hii hakuna tija maana wengi wao ni mbumbumbuuu
Vijana wa siku hizi hawataki taabu wanataka mtelezo ili wapate ajira fasta. ndio maana leo hii hakuna tija maana wengi wao ni mbumbumbuuu
Kwa majibu haya wanaonesha vile wanastahili kutiliwa shaka kwenye utendaji wao.
Ukienda LST sasa hivi ukahoji jambo, mfano, kujua kama wamekubali kurejesha booklets kwa wanafunzi wanaohitaji kuziona, wanakujibu, umekuja kutujaribu sio, hatukupi na nenda kalalamike kokote unakotaka.
LST ni jipu ,mfumo mzima ni jipu