Maoni kwa Masanja Mkandamizaji

Maoni kwa Masanja Mkandamizaji

Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana.

Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa wa feel free yaani wajisikie huru na hujasema wajisikie huru kwenye nini, matokeo yake watu wakajisikia huru kufanya mambo haya;

1. Kula vitu vitakatifu.
2. Kuvaa kama wanavyo jisikia.
3. Kuzini hovyo, mimi pia nilizini na mtu hapo.
5. Katibu akapita na watu fulani fulani hapo.

Nakuhakikishia usipo badili hilo jina utachapiwa kila kitu.
Imani za kiafrika ni ubatili mtupu.
Kuna free Pentekoste nalo ni tatizo?
Acheni ujinga ujinga.
Labda ungekosoa aina ya mafundisho yake na mienendo na sio jina.

Kwani feel free kuna shida?

Yesu mwenyewe alisema..

Mwana akikuweka huru utakuwa huru kweli kweli...hii inahusu nini?
 
Hahahaha wanawake waruhusiwe kuwa na mume zaidi ya mmoja
Kwani mmekatazwa? Kuna wanawake wana waume hata idadi hawajui, sembuse kuwa na wawili?
Wote mna waume zaidi ya wawili hata kama hamjawatambulisha.
 
20221004_061311.jpg
 
Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana.

Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa wa feel free yaani wajisikie huru na hujasema wajisikie huru kwenye nini, matokeo yake watu wakajisikia huru kufanya mambo haya;

1. Kula vitu vitakatifu.
2. Kuvaa kama wanavyo jisikia.
3. Kuzini hovyo, mimi pia nilizini na mtu hapo.
5. Katibu akapita na watu fulani fulani hapo.

Nakuhakikishia usipo badili hilo jina utachapiwa kila kitu.
Acha achapiwe,yeye mwenyewe masanja kapiga Sana wake za watu
 
Back
Top Bottom