Maoni kwa Masanja Mkandamizaji

Maoni kwa Masanja Mkandamizaji

Mungu anisamehe ila sijawahi muamini Masanja kama mchungaji
Ila labda nna mapepo,
Hata mimi nashangaa mtu mzima na akili zake unamuamini masanha,bora jiwe pagani nikifa maiti yangu muitupe
 
Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana.

Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa wa feel free yaani wajisikie huru na hujasema wajisikie huru kwenye nini, matokeo yake watu wakajisikia huru kufanya mambo haya;

1. Kula vitu vitakatifu.
2. Kuvaa kama wanavyo jisikia.
3. Kuzini hovyo, mimi pia nilizini na mtu hapo.
5. Katibu akapita na watu fulani fulani hapo.

Nakuhakikishia usipo badili hilo jina utachapiwa kila kitu.
Wewe acha kumtisha jina si tatizo.
 
Feel free kuichukulia utakavyoona. Tangu siku ile pale kanisani nilipoona yule demu anamakalio kama mtungi anaimba kwaya huku akinesa na Masanja kumsifia madhabahuni mpaka akatrend. Nilisema hakuna kanisa pale. Ni kijiwe cha wahuni tu.

Masanja bado ana utoto halafu anataka aitwe Askofu. Unawekaje picha ya mdada mwenye makalio makubwa kwenye mtandao ili iweje.?

Tatizo masanja anajiita mchungaji wakati alitakiwa kuchungwa. Tatizo makanisa yamekuwa Kama biashara. Ndio maana mtu anaamka asubuhi analiita kanisa lake Feel Free church au Love Church ( Mc Pilipili).
 
Ha
Wewe acha kumtisha jina si tatizo.

Jina linamatter Sana. Feel free church kwa kiswahili maana yake ni jisikie huru. Jisikie huru ni tangazo au jina la kanisa?.

Yani unaulizwa unasali wapi? Unajibu, nasali kanisa la kujiskia huru. Mwingine kaja na love church.
 
IMG_6018.jpg
 
Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana.

Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa wa feel free yaani wajisikie huru na hujasema wajisikie huru kwenye nini, matokeo yake watu wakajisikia huru kufanya mambo haya;

1. Kula vitu vitakatifu.
2. Kuvaa kama wanavyo jisikia.
3. Kuzini hovyo, mimi pia nilizini na mtu hapo.
5. Katibu akapita na watu fulani fulani hapo.

Nakuhakikishia usipo badili hilo jina utachapiwa kila kitu.
Yeye mwenyewe ni muhuni, mzinzi hatari.
 
Back
Top Bottom