Maoni:Kwa nyumba hii gharama zipoje?

Maoni:Kwa nyumba hii gharama zipoje?

run CMD

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
3,185
Reaction score
3,909
Mambo vipi wakuu!
Kulingana na hali ya sasa naomba mchanganuo wa ujenzi wa nyumba hii.Chumba cha kulala kiwe kimoja na sitting room basi na ukubwa ni 6*8.Ukiondoa tofali zipo tayar

karibuni
House-design-8x10-with-2-Bedrooms-Terrace-roof-1.jpg
 
Mdau anaomba mchqnaganuo. Hiyo gharama imepatikanaje?
Kujenga skwea metre moja kuanzia uchimba msingi ,kuujengea, kuweka floor, tofali, mchanga,lintel,kupaua,bati,ufundi,dirisha,mlango,nondo,cementi,rangi,umeme etc ni laki tano. Fundi siyo Hawa wa kuokoteza ni wale walioandikishwa boss. Kama hujaelewa njoo ofisini
 
Back
Top Bottom