Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka iwe kama hapo kwenye picha tayarisha 48*500,000/=24,000,000/=Mambo vipi wakuu!
Kulingana na hali ya sasa naomba mchanganuo wa ujenzi wa nyumba hii.Chumba cha kulala kiwe kimoja na sitting room basi na ukubwa ni 6*8.Ukiondoa tofali zipo tayar
karibuniView attachment 1659444
Mdau anaomba mchqnaganuo. Hiyo gharama imepatikanaje?Mpaka iwe kama hapo kwenye picha tayarisha 48*500,000/=24,000,000/=
Kujenga skwea metre moja kuanzia uchimba msingi ,kuujengea, kuweka floor, tofali, mchanga,lintel,kupaua,bati,ufundi,dirisha,mlango,nondo,cementi,rangi,umeme etc ni laki tano. Fundi siyo Hawa wa kuokoteza ni wale walioandikishwa boss. Kama hujaelewa njoo ofisiniMdau anaomba mchqnaganuo. Hiyo gharama imepatikanaje?