Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ya midarange na flagship NI ipi ?Point of correction, Redmi sio flagship phone.... Redmi ni midrange phone ya Xiaomi.
Flagship phone ya Xiaomi ni Xiaomi series ambapo before ilikuwa Xiaomi Mi
Mashoga kwa kuteteana!!Kukurekebisha founder wa iphone si tim cook, na tim cook kuwa shoga haku athiri ubora wa bidhaa za apple
For the record tim cook was hand picked kuongoza apple na steve jobs akiwa katika hali mbaya kitandani
flagship ni ujuzi wa kampuni ulikofikia kikomo kutengeneza bidhaa ..mfano flagship ya simu ndiyo simu iliyotengenezwa kwa kiwango cha juu kuliko simu zote za kampuni hiyo kwa nyakati hizo.Flashships ndio kitu gani wakuu ? mimi sielewi kitu.
Na kwel [emoji1787][emoji1787]Hapo uliposema iphone kwenye charge ni mzigo naomba urudi dukani ukanue iphone matoleo ya karibuni utumie.
Most reputable brand kuanzia nguo na izo za designing nyingi zimekuwa crafted na gays wapo Kila sehemu, inshu ya Tim Cook kuwa ivo sidhani kama ina athari kwako end userNaunga mkono hoja. Samsung ndiyo top phone on earth.
iPhone ukiacha hayo mapungufu ya battery, restrictions za iTunes, uuzaji wa applications bado naichukia kwa kuwa founder wake Tim Cooks ni shoga aliyejitangaza.
Unaijua "ZTE nubia red magic 9 pro" ?DISCLAIMER: This content is solely based on my personal opinion.
Moja kwa moja kwenye mada. Hizi flagships babalao ni Samsung pekee. Achana na series za Google pixel, iPhone, Redmi, etc... Samsung yuko vzr kotekote, hardware na software.
Iphone kwa ile classy feeling na touch wako vzr, ila kimatumizi simu zao zinakera sana, hazipo stable. Na hata charge ni mzigo, battery zao zina uwezo mdg ukilinganisha na corresponding flagships za brands nyingine. Labda kama hauna matumizi mengi ya simu, lkn kama wewe ofisi yako ni simu basi chukua samsung. Samsung s20 tu ina uwezo wa kuipiga mbali sana iphone 11.
Google pixel wanajitahidi kwenye software, ila hardware bado.
Kwangu Brand pekee inayoifuata samsung kwa ubora ni Huawei
Hiyo namba sita ni ya muhimu sana japokuwa nina ugonjwa wa kununua simu zenye kuleta gumzo kwenye jamii hali ya uchumi inavyokuwa nzuri.Mkuu , moja Samsung ananunua chip, google na apple wana design wao, nani hapo hayupo vizuri kwenye hardware. Hiyo samsung unayoletewa wewe Africa wala haina snapdragon chip, ina kale ka exynos chip ka kawaida kabisa.
Pili S24 series imenadi sifa zake mpya ambazo ni old school kwa sisi watu wa google tangu 2022 tunazo.
Tatu tukichukua s24 ultra na 15 pro max na pixel 8 pro, google inazidiwa na hizo simu kwenye portrait mode tu zaidi ya hapo hakuna wanachoweza.
Nne nikiri kwamba google bado hawaja optimize chip performance lakini 8GB RAM ya pixel ni sawa na 12GB au hata 16GB za TECNO NA hiyo HUAWEI YAKO.
Tano Iphone is just overpriced and overlooked, siku hizi unakuta na mtu na iphone 6 anakuvimbia mtu una tecno camon 20 premium akijiona yeye ndio ana simu ya bei.
Sita kwa nyinyi wabongo hamna haja ya kujua simu sana maana mnachezea tu hamna kazi nazo za msingi.
Kinachokusaidia kulingana na uwezo mahitaji na standards zako ndiyo hichohicho.DISCLAIMER: This content is solely based on my personal opinion.
Moja kwa moja kwenye mada. Hizi flagships babalao ni Samsung pekee. Achana na series za Google pixel, iPhone, Redmi, etc... Samsung yuko vzr kotekote, hardware na software.
Iphone kwa ile classy feeling na touch wako vzr, ila kimatumizi simu zao zinakera sana, hazipo stable. Na hata charge ni mzigo, battery zao zina uwezo mdg ukilinganisha na corresponding flagships za brands nyingine. Labda kama hauna matumizi mengi ya simu, lkn kama wewe ofisi yako ni simu basi chukua samsung. Samsung s20 tu ina uwezo wa kuipiga mbali sana iphone 11.
Google pixel wanajitahidi kwenye software, ila hardware bado.
Kwangu Brand pekee inayoifuata samsung kwa ubora ni Huawei
Mkuu acha kuchekesha basi.Mkuu , moja Samsung ananunua chip, google na apple wana design wao, nani hapo hayupo vizuri kwenye hardware. Hiyo samsung unayoletewa wewe Africa wala haina snapdragon chip, ina kale ka exynos chip ka kawaida kabisa.
Pili S24 series imenadi sifa zake mpya ambazo ni old school kwa sisi watu wa google tangu 2022 tunazo.
Tatu tukichukua s24 ultra na 15 pro max na pixel 8 pro, google inazidiwa na hizo simu kwenye portrait mode tu zaidi ya hapo hakuna wanachoweza.
Nne nikiri kwamba google bado hawaja optimize chip performance lakini 8GB RAM ya pixel ni sawa na 12GB au hata 16GB za TECNO NA hiyo HUAWEI YAKO.
Tano Iphone is just overpriced and overlooked, siku hizi unakuta na mtu na iphone 6 anakuvimbia mtu una tecno camon 20 premium akijiona yeye ndio ana simu ya bei.
Sita kwa nyinyi wabongo hamna haja ya kujua simu sana maana mnachezea tu hamna kazi nazo za msingi.
Jamaa ame attack badala ya kujibu hoja, logically mtu akishafanya hivo unajua kabisa mtu hajui kituMkuu acha kuchekesha basi.
Kwanza samsung ni component vendor wa Google kwenye hizo pixel devices kuanzia simu hadi watches. Hadi vioo Google pixel wanatumia vya samsung. Ni component vendor sababu ana reputation nzr kwenye hardware kiujumla.
Hizo chips wananunua kwingine, hamna division inayotengeneza chips hapo google.
Na kwa taarifa yako Kwenye pixel devices hamna hardware component yyt aliotengeneza google, hadi battery wanatoa china.
Only software components za pixel ndizo zinatengenezwa na google, that way huwezi control overall quality ya product nzima.
Na ndo maana hata kwenye EV Tesla anakuja kuchukua point nyingi sababu kila kitu hadi chip za kwenye ECU za gari zake anatengeneza yeye. Achana na toyota, ford na wengine wanaochukua kwa denso, motorola etc... Same way samsung components nyingi kwenye simu yake zimetengenezwa na wao wenyewe.
Kafanye research ndo uje tena hapa.
Soma hio screenshot hapo chini
View attachment 2899661
We na mimi nani anachekesha? Samsung wananunua snapdragon chip, hiyo exynos ni ARM based maana yake haina tofauti na chip ya TECNO au ITEL na sio ya samsung, samsung wanafanya manufacturing ya design zq kununua baada ya customization. Google hakutaka stress za kuset manufacturing plant akampa samsung kazi lakini sio kwamba google anategemea samsung ndio a design. Tofautisha design na manufacturing.Mkuu acha kuchekesha basi.
Kwanza samsung ni component vendor wa Google kwenye hizo pixel devices kuanzia simu hadi watches. Hadi vioo Google pixel wanatumia vya samsung. Ni component vendor sababu ana reputation nzr kwenye hardware kiujumla.
Hizo chips wananunua kwingine, hamna division inayotengeneza chips hapo google.
Na kwa taarifa yako Kwenye pixel devices hamna hardware component yyt aliotengeneza google, hadi battery wanatoa china.
Only software components za pixel ndizo zinatengenezwa na google, that way huwezi control overall quality ya product nzima.
Na ndo maana hata kwenye EV Tesla anakuja kuchukua point nyingi sababu kila kitu hadi chip za kwenye ECU za gari zake anatengeneza yeye. Achana na toyota, ford na wengine wanaochukua kwa denso, motorola etc... Same way samsung components nyingi kwenye simu yake zimetengenezwa na wao wenyewe.
Kafanye research ndo uje tena hapa.
Soma hio screenshot hapo chini
View attachment 2899661
Unaweza kutaja hayo matumizi unayoyaita ya kikamilifuHiyo namba sita ni ya muhimu sana japokuwa nina ugonjwa wa kununua simu zenye kuleta gumzo kwenye jamii hali ya uchumi inavyokuwa nzuri.
Ukitaka kulijua hilo kwamba watu hawazitumii simu kikamilifu, mtu akienda kununua simu anaangalia camera, storage na brand angalau aonekane wa bei ya juu kidogo Kwa ajili ya kujaza nyimbo na picha pamoja na asionekane mchovu Kwa kuwa na simu latest mengine hayahusu ila wachache sana wanazitumia simu kikamilifu