Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Hivi huyu huwa hana mada yoyote zaidi ya topic za walimu.

Kweli JF imeingiliwa, kila cku ana topic moja tu basi,,inafikia hatua hata uzi wake huwezi soma coz dairy ni topic moja tu.

Nipo JF miaka zaidi ya 7 naona hili jina ni jipya la mpyayunge village.

Kweli JF ni kama kokolo inabeba kila mtu.

Kila la kheri katika harakati zako mpya za kudeal na walimu tu.
Anawaambia ukweli na kuna wakati anawapigania

Ova
 
Shukrani kubwa ziende kwa walimu kwa kila nafasi na kila hatua na kwajitihada zao zilizofanya tufike tulipo sasa kwa elimu tulizopewa shule ziwe za kiada au ziada kuanzia ngazi ya awali, msingi, sekondari, upili hadi vyuo.

Hongera walimu kwa kuzalisha madaktari, maengineers, wahasibu n.k

Walimu wapewe maua Yao[emoji253]

download%20(6).jpg
 
Back
Top Bottom