Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #281
Sijui kama watakuelewaTicha umekopa nini bhana...?
Una siri aiseeh.. yaani unajifanya kuhadithiwa wakati 100% umekopa kwa huyo mhindi...?!!
Ungekusanya huyo mshahara ukapunguza kuzunguka huko bar za manzese na buguruni ukanunua vyombo ili usikopeshwe kwa riba kubwa ticha!
Anadai sio ticha ameajiri,mda mwingi anakunywa bia Manzese sijui anasuper vise sa ngapi,wakati huo anaishi kwa shemeji yakeTicha umekopa nini bhana...?
Una siri aiseeh.. yaani unajifanya kuhadithiwa wakati 100% umekopa kwa huyo mhindi...?!!
Ungekusanya huyo mshahara ukapunguza kuzunguka huko bar za manzese na buguruni ukanunua vyombo ili usikopeshwe kwa riba kubwa ticha!
Kaa mbaliKuna nyingine inaitwa plutnum nasikia inawakausha balaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakua kwelii.Au nadanganya
Au AMACHAMABOTO [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ni mjini we Fata maisha yako, wengine hata jumanne ni siku ya kula bata sio mpaka wikiendiAnadai sio ticha ameajiri,mda mwingi anakunywa bia Manzese sijui anasuper vise sa ngapi,wakati huo anaishi kwa shemeji yake
Asante Kwa kunitunzia kumbukumbu
Walimu mna mambo mengi sana acha aendelee kuwagusa moja baada ya jingine.Wee naye tumechoka nyuzi zako za kuzungumzia walimu kila wakati!
Watasema hii ni I'd yangu nimekuja kivingineWalimu mna mambo mengi sana acha aendelee kuwagusa moja baada ya jingine.
Tena Balimi!Tajiri gani anaomba beer
Sio kweli, huku kwingine hatuwez nunua vitu vya mafungu, makopo ya kuogea hayo wanawapelekea walimu
AhaaaaaaIvi bado mpaka Leo mtu Ana vyeti anabaki kuwa mjasiriamali badala ya kuwa mfanyabiashara? Basi walimu wote hawana akili
Ukiwemo na wewe Mr teacherIvi bado mpaka Leo mtu Ana vyeti anabaki kuwa mjasiriamali badala ya kuwa mfanyabiashara? Basi walimu wote hawana akili
Achana na huyu mwalimu shoga,naona vinamuwasha washa,ndo anatafuta mabasha kinamnaPole sana mwalimu ondoka haraka maeneo ya shule, kaa mbali na hio kazi ya kiboya.
AtakupingaKuna waalimu wajasiriamali wako vizuri tu.
Teacherrrrr,mwalimu acha kukikimbia kivuli chakoIam not and I will never become