Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Ticha umekopa nini bhana...?
Una siri aiseeh.. yaani unajifanya kuhadithiwa wakati 100% umekopa kwa huyo mhindi...?!!
Ungekusanya huyo mshahara ukapunguza kuzunguka huko bar za manzese na buguruni ukanunua vyombo ili usikopeshwe kwa riba kubwa ticha!
Sijui kama watakuelewa
 
Anadai sio ticha ameajiri,mda mwingi anakunywa bia Manzese sijui anasuper vise sa ngapi,wakati huo anaishi kwa shemeji yake
 
Screenshot_20230629-005620.jpg
 
Anadai sio ticha ameajiri,mda mwingi anakunywa bia Manzese sijui anasuper vise sa ngapi,wakati huo anaishi kwa shemeji yake
Hapa ni mjini we Fata maisha yako, wengine hata jumanne ni siku ya kula bata sio mpaka wikiendi
 
Walimu ndiyo wanaompa kiki humu jf,kupitia wao ndo kapata huu umaarufu bila wao angebaki new member tu

Ndo nyota yake hiyo mwache aserereke nayo
 
Aa
Sio kweli, huku kwingine hatuwez nunua vitu vya mafungu, makopo ya kuogea hayo wanawapelekea walimu
Ivi bado mpaka Leo mtu Ana vyeti anabaki kuwa mjasiriamali badala ya kuwa mfanyabiashara? Basi walimu wote hawana akili
Ahaaaaaa
Mke wa walimu naona unatema tu mate ya kuchefuchefu Cha mimba waliyokupa walimu

Demu wa walimu,haipiti siku bila ya kututaja waume zako
 
Back
Top Bottom