Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #281
Sijui kama watakuelewaTicha umekopa nini bhana...?
Una siri aiseeh.. yaani unajifanya kuhadithiwa wakati 100% umekopa kwa huyo mhindi...?!!
Ungekusanya huyo mshahara ukapunguza kuzunguka huko bar za manzese na buguruni ukanunua vyombo ili usikopeshwe kwa riba kubwa ticha!