Ndowapewe
Ndomtihani
Ndoafundishe !!!! Ipo kazi, ndio washauri wetu !!! Wakosoaji wa walimu !!!!!!

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Una matatizo gani kichwani?

Hivi hujui ualimu ni kada pekee isiyo na posho wala marupurupu yoyote?

Unashida kwenye fuvu lako
 
Walimu wanaofanikiwa kuwa viongozi waache roho mbaya ya kutowakumbuka wenzao.
Miaka yote tokea Uhuru ualimu ndio utoa Marais,wake wa marais,mawaziri,wake wa mawaziri, wabunge wake za wabunge.
Lakini hakuna hata mmoja akishakuwa kiongozi kutokea ualimu anawakumbuka wenzake.
Sijui ni laana,
 
Leo nimepata taarifa mwalimu wa shule X alikuwa akishugulikia uhamisho atoke ukerewe aende kwao songea Sasa baada ya kuona mkurugenzi anazingua kumpitishia barua ilihali ana miaka zaidi ya kumi kituo kimoja na somo la kufundishia wapo walimu zaidi ya watano ila bado mwajiri analeta hira ikabidi aandike barua ya kuacha kazi hapo hapo

Ameacha kazi ili arudi nyumbani akakae na Familia afanye mambo yake kuliko kuburuzwa kijinga jinga tu

Kama yupo mwalimu anaweza fanya maamuzi magumu kama haya na aje hapa
 
Mwalimu mpwayungu vp nini kimekusibu Tena?
 
Huyo tu kwanza uliyemtaja ni ushaidi tosha,
 
Huyo mwalimu katoboa mtumbwi na yeye mwenyewe yupo humo humo, wala hamkomoi muajiri,, ngoja njaa imkunyuge huko kwao bombambili ataukumbuka hata huo mshara wa jiwe unusu,,,,
 
Si angekopa kama anakopesheka halafu aanze vitimbwi.
Anyway kafanya maamuzi magumu, Kuendeshwa na kijitu mpaka akuamulie maisha yako na familia yako ni ujinga...

Huko Ukerewe mbona wengi sana wanapakimbia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…