Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Kuna mmoja nilimkopesha naona anapitapita kila saa kunisalimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa MwalimuMuyangu kama una kiasi kidogo cha pesa ukitaka kusubiri kesho utatoa ATM please toa saizi tena shukuru Mungu nimekusanua uzuri Leo walimu wametoka kapa walikuwa wanaingia ATM kila mda kuuliza salio Bank inawaambia insufficient balance lakini bado jioni hii tena wanaingia kuuliza ATM inawaambia waache usumbufu sasa nenda saizi ukatoe pesa yako uepuke kesho foleni ya walimu ukienda kesho utajuta
Hawa watu hawatakagi kwenda Kwa NMB wakala Wala kutumia NMB mkononi wanakwepa makato ya buku tatu tu, saizi wanahaha wanapwipwitwa wanaona siku haisogei Jana na Leo ni ngumu kumeza wanaungulia maumivu ya Moto tumboni kimya kimya
Walimu tafuteni chanzo cha kipato mshahara huwa hautoshi maisha mliyonayo niyakimbuzi sana yaani
Usicheke hawa watu wanaishi kama wapo kuzimu, heri ukae kwenye tanuri la Moto ila usiwe mwalimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana.
Akija kuwa mwalimu nauwaWe jamaa unadharau,omba mwanao asije kuwa Mwalimu naye atadhauriwa hivyo hivyo kama unavyo dharau wengine.
Acha [emoji23][emoji23][emoji23]kuna moja nilikopesha naona anapitapita kila saa kunisalimia
Hawacheki na mtu yani [emoji23][emoji23][emoji23]Dah afu kwenye foleni wanakuwaga makauzu hao[emoji23][emoji23][emoji23].utafikil wanaenda toa pesa ya maana.
siunajua maisha haya jamaa tarehe 4 alikua hana hata kumi, nafikiri kuna jambo la kijinga alilifanya maana kunasiku alikua anaulizia juu ya mambo ya kubet tukawa tunayaponda sasa nafikiri alijaribu japo sikutaka kumuliza.Acha [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani tar 4 mfuko umetoboka [emoji15]siunajua maisha haya jamaa tarehe 4 alikua hana hata kumi, nafikiri kuna jambo la kijinga alilifanya maana kunasiku alikua anaulizia juu ya mambo ya kubet tukawa tunayaponda sasa nafikiri alijaribu japo sikutaka kumuliza.
Heshima haiombwiHeshimuni walimu,asingekuwepo mwalimu usingejua kusoma na kuandika,bakizeni watoto wenu nyumbani muwafundishe,wewe ulijua kusoma na kuandika alikufundisha baba yako au mama yako?acheni dharau,mlisaidiwa hadi kufunga zipu,na kutengenezwa sketi zenu,na mafua hadi kifuani,angalia mfano wa mwanao tu hapo kwako anaendaje shule anapoanza madarasa ya awali