Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Muyangu kama una kiasi kidogo cha pesa ukitaka kusubiri kesho utatoa ATM please toa saizi tena shukuru Mungu nimekusanua uzuri Leo walimu wametoka kapa walikuwa wanaingia ATM kila mda kuuliza salio Bank inawaambia insufficient balance lakini bado jioni hii tena wanaingia kuuliza ATM inawaambia waache usumbufu sasa nenda saizi ukatoe pesa yako uepuke kesho foleni ya walimu ukienda kesho utajuta

Hawa watu hawatakagi kwenda Kwa NMB wakala Wala kutumia NMB mkononi wanakwepa makato ya buku tatu tu, saizi wanahaha wanapwipwitwa wanaona siku haisogei Jana na Leo ni ngumu kumeza wanaungulia maumivu ya Moto tumboni kimya kimya

Walimu tafuteni chanzo cha kipato mshahara huwa hautoshi maisha mliyonayo niyakimbuzi sana yaani
Sawa Mwalimu
 
d257519e-3160-471d-959e-2c4c1867e86d.jpg
 
Heshimuni walimu, asingekuwepo mwalimu usingejua kusoma na kuandika, bakizeni watoto wenu nyumbani muwafundishe, wewe ulijua kusoma na kuandika alikufundisha baba yako au mama yako? Acheni dharau, mlisaidiwa hadi kufunga zipu na kutengenezwa sketi zenu, na mafua hadi kifuani, angalia mfano wa mwanao tu hapo kwako anaendaje shule anapoanza madarasa ya awali
 
Heshimuni walimu,asingekuwepo mwalimu usingejua kusoma na kuandika,bakizeni watoto wenu nyumbani muwafundishe,wewe ulijua kusoma na kuandika alikufundisha baba yako au mama yako?acheni dharau,mlisaidiwa hadi kufunga zipu,na kutengenezwa sketi zenu,na mafua hadi kifuani,angalia mfano wa mwanao tu hapo kwako anaendaje shule anapoanza madarasa ya awali
Heshima haiombwi
 
Back
Top Bottom