Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Walimu walikukosea nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umempatia sana… huyo mchicha mwibaUshapigwa kibaridi sasa mk unawasha.....
Ulipoteaga hapa kati jamvini. Naskia ulikuwa chaka ukilima mahindi.Dunia ya sasa tofauti na zamani wenye pesa kama sisi ni kubadilisha location tu, Jumatatu mpaka Jumatatu ukitoka kitambaa Cheupe Jumanne tunaenda Small Planet, Jumatano Wavuvi camp, Alhamis Liquid bar, Ijumaa tunaruka Maasai, Jumamosi tunarudi Kisuma afu Jumapili tunapaa Beach Kidimbwi kutumia pesa
Lakin walimu wanabaki kunywa balimi na double Kiki tu, ananuka vumbi la chaki suruali imepauka shati halijulikani ni jekundu au lapink. Wapo wapo tu kazi yao kukopa sukari na dagaa kwenye viduka vya mangi. Utakuta wamevaa viatu vya four angle vya buku tatu tatu. Hawana jipya hawa sijui wana faida gani
Kausha damu inawadrive crazyDunia ya sasa tofauti na zamani wenye pesa kama sisi ni kubadilisha location tu, Jumatatu mpaka Jumatatu ukitoka kitambaa Cheupe Jumanne tunaenda Small Planet, Jumatano Wavuvi camp, Alhamis Liquid bar, Ijumaa tunaruka Maasai, Jumamosi tunarudi Kisuma afu Jumapili tunapaa Beach Kidimbwi kutumia pesa
Lakin walimu wanabaki kunywa balimi na double Kiki tu, ananuka vumbi la chaki suruali imepauka shati halijulikani ni jekundu au lapink. Wapo wapo tu kazi yao kukopa sukari na dagaa kwenye viduka vya mangi. Utakuta wamevaa viatu vya four angle vya buku tatu tatu. Hawana jipya hawa sijui wana faida gani
Walimu mbona wapo vizuri kiuchumi sikuiziDunia ya sasa tofauti na zamani wenye pesa kama sisi ni kubadilisha location tu, Jumatatu mpaka Jumatatu ukitoka kitambaa Cheupe Jumanne tunaenda Small Planet, Jumatano Wavuvi camp, Alhamis Liquid bar, Ijumaa tunaruka Maasai, Jumamosi tunarudi Kisuma afu Jumapili tunapaa Beach Kidimbwi kutumia pesa
Lakin walimu wanabaki kunywa balimi na double Kiki tu, ananuka vumbi la chaki suruali imepauka shati halijulikani ni jekundu au lapink. Wapo wapo tu kazi yao kukopa sukari na dagaa kwenye viduka vya mangi. Utakuta wamevaa viatu vya four angle vya buku tatu tatu. Hawana jipya hawa sijui wana faida gani
Mwalimu gani anywe bilima kwa mshahara upi? Ukiona mwalimu kashikilia chupa kubwa ya maji ujue katoka semina, 90% ya waalimu wana mikopo ya kauusha damu au ya benki mwalimu mpaka anasitaafu hajawahi kupokea mshahara wake kamiri........
Mbona unawadharau walimu wenzako?Dunia ya sasa tofauti na zamani wenye pesa kama sisi ni kubadilisha location tu, Jumatatu mpaka Jumatatu ukitoka kitambaa Cheupe Jumanne tunaenda Small Planet, Jumatano Wavuvi camp, Alhamis Liquid bar, Ijumaa tunaruka Maasai, Jumamosi tunarudi Kisuma afu Jumapili tunapaa Beach Kidimbwi kutumia pesa
Lakin walimu wanabaki kunywa balimi na double Kiki tu, ananuka vumbi la chaki suruali imepauka shati halijulikani ni jekundu au lapink. Wapo wapo tu kazi yao kukopa sukari na dagaa kwenye viduka vya mangi. Utakuta wamevaa viatu vya four angle vya buku tatu tatu. Hawana jipya hawa sijui wana faida gani
[emoji23][emoji23][emoji23]Viatu vya four angle vya buku tatu tatu?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji134]
Si mchezo wakuu,tuwe na hela tu [emoji3]
Mkuu nipo Windhoek mda tuUlipoteaga hapa kati jamvini. Naskia ulikuwa chaka ukilima mahindi.
Mavi Yao [emoji28][emoji28][emoji28]Kuna walimu ,Wana maokoto si mchezowapo wanaendesha Prado hapa ,mjini na wanaenda tour ,ufaransa ,Hispania na uarabuni uko Dubai paka unaweza SEMA ,uyu ni mwalimu au Ded au meneja
Yup huyo [emoji28][emoji28][emoji28]Walimu mbona wapo vizuri kiuchumi sikuizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani we ungepata zali kama la Insider man....ungeharishia watu kichwani hapo huna chochote kelele miiiiiingi mtu mwenyewe unakula unachopata na sio unachokitaka....kapuku wahedi....
Huyo bwana alidisco DUCE maana sampuli hizo ndo huwa na hasira na ualimu..Walimu walikukosea nini mkuu?
He is a university drop outatop behavinging like a pupil students you are grown man now