Hawa watu Kuna mda huwa nawaza nasema sio kitu cha kawaida, yani hawana posho yoyote ile katikati ya mwenzi na mshahara wenyewe ni mdogo ivi wanaishijeee?
Mbaya zaidi wamekuwa watumwa kwenye kazi zao. Ni watu wa ndio tuu ndio mana Kila mtu mitaani anasema bora niwe bodaboda kuliko kuwa mwalimu, that means ualimu unadharaulika kwasababu hata maisha yao wanajamii tunayaona
Sasa ajabu ni kuwa, huwezi kukuta mwalimu anadai Haki yake, yani hata ukiwaambia Kuna mitihani ya mock njooni msaishe bure wote wanakubar eti wanaogopa kufukuzwa kazi ilihali inabidi wapewe posho 😂😂😂
Mwisho ni kuwa wamekuwa wanawaibia Chama flani kura kipindi cha uchaguzi, Chama hicho hicho ndokinawadharau hawa maticha.
View attachment 2951002