Poleni sana, nuru inakuja
 
Bora walimu wa serikalini wanakopesheka na wanapension za uhakika huku private wako hoi sana.Shule za private zinazowajali walimu wao kimaslahi ni za kuhesabu
 
Walimu ni kenge , ni mijusi kafiri , mapunguani , goigoi etc
 
Walimu ni ma kenge tu hawana wanacho miliki.waivo ni wachache sana barakuda ww
 
Usisahau mchango wa kuchukulia form ya urais pia ni wao wanachangishana.
 
We ni nyumbu, lini nyumbu amekuwa na akili
 
Walimu wananunua pikipiki wanawapa Watu waendeshe kama bossboda.

Bodaboda wa bunda na walimu wa bunda,nani wa afadhali?
 
Najiuliza tu.. Nyie mnaotukana walimu matusi ya Kila aina Kwa kashfa na kebehi matoto yenu anayafundisha nani huko shuleni..?? Au hamjazaa bado..?? Mmefanya Nini kusaidia kumkwamua huyu mwalimu ikashindikana mpaka mkaanza kumchukia kiasi hiki..?? Napata jibu kuwa ni wapumbavu ambao hamuelewi chochote kuhusiana na mgawanyo wa kazi katika jamii.. Na kwa sababu jamii zetu zimekubali kuwa za kishenzi na washenzi kuonekana ndio watu wa maana Kwa sababu Wana pesa basi tutegemee jamii yetu kuzidi kuharibika.. Na kwa sababu hatuna akili hatulioni hilo.. Tutakuja kufumbua macho siku tutakapokosa walimu kabisa..
 
Mbaya zaidi wamekuwa watumwa kwenye kazi zao. Ni watu wa ndio tuu ndio mana Kila mtu mitaani anasema bora niwe bodaboda kuliko kuwa mwalimu, that means ualimu unadharaulika kwasababu hata maisha yao wanajamii tunayaona
Mimi nikuulize swali moja tu Mwl Mpwayungu: Hivi ni lazima Walimu wote wawe wanaccm?
Jambo pekee wanaloweza kujadili ni Vicoba na Upatu ukileta jambo la maana huoni hata moja
 
Ni utani tu sidhani kama wako serious kihivyo....Walimu ndio wametufikisha hapa hadi tuna comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…