Ualimu ni faraja watu wapita kwenda kuwa doctor ruban nk ukubwaa jalala mtupaji ajui shida aipatayo jalala kwa kumtupia takataka vinyesi nk aktukanae akuchagulii tusii uwezi kuvaa sitie kabla ya nepi Walimu heshima yenu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]sotee tumepita kwenye mikono yenuuu na malezi yenuuu sema heshima yenu imepoteaaa na walimuu wa kujitolea mane boa kwani mnaionyesha serikali jinzi gani mko wengi mpaka mnajitolea ndy maana mnazalaulika hamnaga misimamo kijana mtanashati kachomekea eti anajitolea kwa hamsini elfu walimu wenzio wakuchangiedd una akili kweli[emoji34][emoji35][emoji35][emoji34][emoji35] elimu imekukomboa au imekudidimizaaaa
 
Ualimu ni laanaa
 
Aya jomba karudi Tena, walimu mjipange
 
Alafu wewe fala utakua mwalimu maana unawafuatilia sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…