[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu mie sitakiiii, akuuuuh!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bibi la mtukula kwani hujasikia??
Mbona ilirushwa ITV na TBC
Uduguu uanze kufatilia taarifa ya habari
[emoji91][emoji91][emoji91]Thank you so much
💕🤗🤗👄[emoji91][emoji91][emoji91]
🤗🤗🤗💖[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu mie sitakiiii, akuuuuh!!
Nifanye nitazame hivyo vipindi, kumbe nakosa uhondrooo!! Woiiiih
😂🤣🤣🤣 DaahLeo nimekutana na mwalimu wa kike ana tatoo shingoni....mkononi ana kishikwambi anadai gharama ya kishikwambi ni millioni tatu..nikabaki nimeduwaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja niwape spana naona wamelegea sana
😂😂😂 Umasikini mbaya sanaHuyo mwalimu aliyepigwa ngumi na mwanafunzi nimevuta picha aiseee nimecheka sana😂😂😂😂😂😂😂😂
Nina TCU guide line ya 2012, ICT ziitakiwa cut off point 2.5 kujiunga chuo. Interior design na architecture nk 3 points. Acha uongo wewe.Usiseme ohh ualimu mgumu
Kujiunga fani ya ualimu iwe certificate, diploma au digrii wanaojiunga ni failures walioshindwa kusimoma kwa juhudi wapate division nzuri sekondari wanaolakamika ohh kazi ya ualimu ngumu kwani kusoma sekondari rahisi ? Mbona walipata pass za ajabu za chini mno kwa uvivu wao wa kusoma
Certificate, diploma na digrii za ualimu wanajiunga watu choka mbaya wavivu kusoma wenye pass mbaya sekondari
Akienda chuo malalamishi kibao akiajiriwa kelele kibao sababu culture ya uvivu na kujituma hajaanzia kwenye ajira kaanzia sekondari anakula bata tu halafu anategemea apate pass nzuri Akiajiriwa anataka mausha na bata shule watoto wanafeli hadi basi analilia serikali iboreshe mishahara nk wakati hana cga maana anachofanya shuleni zaidi ya kuzakusha failures
Niombe serikali ianze kupeleka wasomea ualimu division one tu waachabe na hao wapumbavu wa division 2 3 na 4 sekondari kuinua kiwango cha Elimu
Kama serikali ilivyofuta walimu wa UPE
Isidahili tena mtu kusomea ualimu aliyepata chini ya division one sekondari
Tuondokane na hawa wapumbafu secondary failures
Kipindi cha mkoloni best performers mitihani ya sekondari ndio walikuwa wakipewa kipaumbele kusomea ualimu
Sasa hivi best performers wamebaki chuo kikuu tu
Serikali irudishe upesi system ya zamani best performers division one waende ualimu hawa failures waende kuwa machines huko ili kunyanyua kiwango cha elimu
Haiwezekani kunyanyua kiwango cha elimu kwa kutegemea failures secondary walioenda vyuo vya ualimu as failures
Hapana.Wanadai mengi wakati wako hopeless delivery zero wafungishwe virago
Nyie vichwa maji ndiyo mnaamini kuwa kwenda ualimu ni waliofeli.Usiseme ohh ualimu mgumu

Kada inayoongoza kuwa na vipanga ni hiyo ya ualimu.Nina TCU guide line ya 2012, ICT ziitakiwa cut off point 2.5 kujiunga chuo. Interior design na architecture nk 3 points. Acha uongo wewe.
Course za eng. Point 3 tu.
Mnajifanya nyie ndio mnajua.
Kozi za uhasibu zilijaza vilaza mpaka wenye zero. Ujanja ujanja wa foundition kozi kisha mtu anadahiliwa.
Labda udaktari na sheria, kozi nyingi zilidahiri kwa kiwango cha EE na DD.
Kwenye maidara mengi wamejaa vilaza hata fluent english hawajui .
Watu kibao wamepiga post grad waahamie ualimu.
Huna unachokijua.
Kwa hio bora mtu asome IT akose ajira ila sio ualimu( una akili wewe ?).
MIKUTANO YA MAKONDA imenizindua kujua maidara yasio ya ELIMU yalivyojaza vilaza.
Nchi hii SMART people wachache sana. Nimejifunza kutoka kwa JPM, Jery Slaa na Makonda kuwa kuna mavilaza LUKUKI kila Idara.
Hizo akili za kupata AA zipo wapi ?( madudu kibao kila idara).
Unakuta LIMTU linajidai lilifaulu ila hakuna cha maana linachofanya kwenye utendaji.
Haloo! Tusichefuane humu. Tunafuatilia mambo kwa kina sana.
😂😂 hata kuandika vizuri huwezi, ndo mana una chuki binafsi na walimu.Walimu
Walimu sio viumbe vya kuhurumia hata na siku na moja hawa kwenye chaguzi ndo wanatumiwa na ccm kuiba kula za wapinzani acha ccm iendelee kuwaenyesha.
Mwalimu punguza makasirikoNina TCU guide line ya 2012, ICT ziitakiwa cut off point 2.5 kujiunga chuo. Interior design na architecture nk 3 points. Acha uongo wewe.
Course za eng. Point 3 tu.
Mnajifanya nyie ndio mnajua.
Kozi za uhasibu zilijaza vilaza mpaka wenye zero. Ujanja ujanja wa foundition kozi kisha mtu anadahiliwa.
Labda udaktari na sheria, kozi nyingi zilidahiri kwa kiwango cha EE na DD.
Kwenye maidara mengi wamejaa vilaza hata fluent english hawajui .
Watu kibao wamepiga post grad waahamie ualimu.
Huna unachokijua.
Kwa hio bora mtu asome IT akose ajira ila sio ualimu( una akili wewe ?).
MIKUTANO YA MAKONDA imenizindua kujua maidara yasio ya ELIMU yalivyojaza vilaza.
Nchi hii SMART people wachache sana. Nimejifunza kutoka kwa JPM, Jery Slaa na Makonda kuwa kuna mavilaza LUKUKI kila Idara.
Hizo akili za kupata AA zipo wapi ?( madudu kibao kila idara).
Unakuta LIMTU linajidai lilifaulu ila hakuna cha maana linachofanya kwenye utendaji.
Haloo! Tusichefuane humu. Tunafuatilia mambo kwa kina sana.
Wewe una professional gani,mazingira ya kupata elimu Nchi hii ni magumu,umewahi soma kwa kibatari wewe na chakula unapika mwenyewe,Nchi hii imepitia mengi.Umeme tuu hapa ni Mwenda zake katuokoa tulikuwa tumeshikwa mazima.Usiseme ohh ualimu mgumu
Kujiunga fani ya ualimu iwe certificate, diploma au digrii wanaojiunga ni failures walioshindwa kusimoma kwa juhudi wapate division nzuri sekondari wanaolakamika ohh kazi ya ualimu ngumu kwani kusoma sekondari rahisi ? Mbona walipata pass za ajabu za chini mno kwa uvivu wao wa kusoma
Certificate, diploma na digrii za ualimu wanajiunga watu choka mbaya wavivu kusoma wenye pass mbaya sekondari
Akienda chuo malalamishi kibao akiajiriwa kelele kibao sababu culture ya uvivu na kujituma hajaanzia kwenye ajira kaanzia sekondari anakula bata tu halafu anategemea apate pass nzuri Akiajiriwa anataka mausha na bata shule watoto wanafeli hadi basi analilia serikali iboreshe mishahara nk wakati hana cga maana anachofanya shuleni zaidi ya kuzakusha failures
Niombe serikali ianze kupeleka wasomea ualimu division one tu waachabe na hao wapumbavu wa division 2 3 na 4 sekondari kuinua kiwango cha Elimu
Kama serikali ilivyofuta walimu wa UPE
Isidahili tena mtu kusomea ualimu aliyepata chini ya division one sekondari
Tuondokane na hawa wapumbafu secondary failures
Kipindi cha mkoloni best performers mitihani ya sekondari ndio walikuwa wakipewa kipaumbele kusomea ualimu
Sasa hivi best performers wamebaki chuo kikuu tu
Serikali irudishe upesi system ya zamani best performers division one waende ualimu hawa failures waende kuwa machines huko ili kunyanyua kiwango cha elimu
Haiwezekani kunyanyua kiwango cha elimu kwa kutegemea failures secondary walioenda vyuo vya ualimu as failures
Hapana.Wanadai mengi wakati wako hopeless delivery zero wafungishwe virago
Hujaelewa hapo. Nimesema kabda sheria na Udaktari zingine cut off point zao zipo chini mfano ICT I ila ni kwa guide line ya 2012 sijui za sasa maana hazinihusu. Unashindwaje kuelewa ?Kada inayoongoza kuwa na vipanga ni hiyo ya ualimu.
Hizo kada za afya na sheria sifa za kwenda huko ni Kuwa na D katika masomo uliyosoma niambie kwenda ualimu wa primary achiliya mbali Secondary sifa ni ipi
Mkuu Umeme alianza kikwete mwenda zake aliendeleza tu. Tuweke mambo sawa.Wewe una professional gani,mazingira ya kupata elimu Nchi hii ni magumu,umewahi soma kwa kibatari wewe na chakula unapika mwenyewe,Nchi hii imepitia mengi.Umeme tuu hapa ni Mwenda zake katuokoa tulikuwa tumeshikwa mazima.
Ualimu, udaktari, ustawi wa jamii, sheikh, upandri, upasta, uaskofu ni ni..Walimu walimu walimu!!! Walimu zipo Tatu.
Nawaomba sana tena sana mjitambue, nendeni na Dunia isiwaache nyuma simnaona mnavyokuwa na matukio ya Ajabu? Matukio yenu mitaan yote ya kufedhehesha. Unaingizwaje kunyuma kwa mfano?.
Huku Namtumbo Kuna teacher kapigwa ngumi na mwanafunz kisa hataki kulipa pesa aliyokopeshwa na mwanafunz wake.
Yaani umekosa kwa kukopa unaenda kukopa kwa mwanafunz unaemfundisha Kisha unatiwa mitama na mwanafunz wako hizi si dharau
Badiliken bhnaaaa naongea kistarabu tu ebu jitambueni
NIView attachment 3038701