Kwahiyo hakuna watu wanaotibu watu ambao hawakupata marks nzuri sekondari mfano ma Clinical officers?

Hizo kada zingine watu wenye certificate na Diploma walipata division 1?
 
Mgogo umeibuka Tena!? Wewe huna jipya uliukosa ualimu Sasa unautukana!!! Vipi Ile Prado Yako namba E IPO!? Umesha chukua masters ya Sheria!? Hivi NGo unayofanyia kazi Wana kupa milioni Kumi Kwa mwezi!?.
Mm nakushauri achana na walimu wameridhika na hawana Hali ngumu kiiivyo!!!
Wewe unashindwa kuwahurumia wagogo wenzio omba omba unahangaika na walimu!?
 
Sijaona jitu bwege kama ww
 
Kwahiyo hakuna watu wanaotibu watu ambao hawakupata marks nzuri sekondari mfano ma Clinical officers?

Hizo kada zingine watu wenye certificate na Diploma walipata division 1?
Haijalishi, ukweli ni kuwa hakuna mtu mwenye division one ya 7 olevel na one ya 3 advance, eti akawe mwalimu. Icho kitu hakipo Ila madktar wapo japo madktar nawao hali ngumu tu wanashinda kwenye vilab vya pombe
 
Haijalishi, ukweli ni kuwa hakuna mtu mwenye division one ya 7 olevel na one ya 3 advance, eti akawe mwalimu. Icho kitu hakipo Ila madktar wapo japo madktar nawao hali ngumu tu wanashinda kwenye vilab vya pombe
Wapo ila wachache. Kuja classmate wangu alipiga A zote pcm form 6 akajichanganya akaapply ili kujazia tu akaweka ualimu. Yanis choice zote alizoweka waliziruka wakamchagua ualimu Udsm akaenda now teacher mwaka wa 10.
Mwingine ni teacher st Judes sema huyo anakula maisha maana ana matrip ya mbele kama yote
 
Hiyo sio kazi ngumu labda nikuambie tu kuwa hakuna kazi ngumu kama uganga wa kienyeji, yaani mtu anafika anakaa kimya umwambie kilichomleta ni nini

Waganga wapewe maua yao
Kazi ya uganga ni kujua kuongea sana tu uwe mtu wa maneno mengi hata kama hujui dawa.
Hata ukichukua vumbi la mkaa ukaweka kwenye kifungashio na maandisho ya jina la dawa mteja anaamini kweli kwamba wewe ni fundi na akitumia atapona
 
Mwalimu punguza makasiriko
Fact sio makasiriko. Watu wanajoongelea tu humu hawana hata data.
Kila idara ina waliofaulu sana na waliofaulu daraja la chini.
Hslafu kingekuwa na ifaulu kila kitu kingekuwa duni hapa TZ ? Yaani hakuna hata mtu mmoja alieleta suluhisho la maana kwa watanzania halafu mtu anajidai eti alifaulu. Waliofaulu huko China hamuwaoni. Akina Zheng fei walioanzisha huawei, hao ndio waliofaulu.
Bongo bana vichekesho kika eneo.
Mtu hana lolote anategemea ajira ya muhindi eti alifaulu.
 
Kama vile nakuona ulivyochafukwa! Only to realize you are more hopeless than the teachers. Ungekuwa na akili hata kidogo malalamiko yako usingeyapeleka kwa walimu peke yao, hao unawatumia tu kuelezea frustration ulizonazo katika maisha. They chose to be teachers, let them be, you chose to be whoever you are, then work hard. Kuna watu wanafanya mambo ya hovyo kabisa sehemu tunazoishi, but as long as they are not teachers, who cares! Wewe unataka uwanyang'anye hata hicho kidogo walicho nacho! As the saying goes every nation lives greedy people, you are a typical example. Kwa mleta mada is just as helpless as you are, he can do nothing to change the situation.
 
This job is hell on earth!!. Hawa watu wametapakaa mitaani kama jobless kumbe watumish.

Fursa ya sensa wapo, fursa ya kuandikisha daftar la kudumu wapo, fursa za kuhesabisha na kusimamia kura wapoo, anuani za makazi waoo tu,.

Unashindwa kuelewa whats wrong nahawajawahi kuelimika wala kupiga hatua. Walimu jaribun kuepuka hizi fezeha. Tunawaheshim Ila nyie mnajidisvalue, just imagine ticha unaenda kukopa pesa kwa mwanafunz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Biashara zao ni vitumbua na ubuyu shuleni over. Sasa utatajirika vipi

Take care otherwise mtakuwa poverty ambassador whole life

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…