Dah
Hii umetunga
 
Mkuu, watumishi wote chini ya muajiri mkurugenzi wa Halmashauri hali ni mbaya. Chukua walimu, watumishi wa afya hali inasikitisha. Nawaonea huruma waajiriwa na wanaofanya internship kwenye taasisi binafsi za afya na nafasi za ajira serikalini zinapotoka wanazishobokea🤣🤣
 
Wenyewe hawana habari na hela ya fomu washamchangia mama
 
Walimu Gani hao waburundi au Tanzania chini ya kipenzi Cha watumishi wa umma Mama Samia? Huu ni mshahara WA mwalimu daraja G,Bado H na I,akifika I anakunja 3M.

Safi sana mama Samia
Ungeweka na umri wa huyo mtumishi kazini! Sio kuwapa moyo vijana wanaotoka vyuo, kumbe ni mshahara wa mtu aliyebakisha miezi 6 kustaafu.

Daktari anaanza na chini ya tzs 1,900,000.
 
Ss unataka tufanyeje si bora kufanya hayo kuliko kuwa jobless unaomba hadi buku la vocha kwa mzazi tena
 
Sema maskini wengine huko mtaani wanaona walimu wametoboa, ila kiukweli wana njaa kali sana.
Walimu asubuh wanagombania mihogo ya kukaanga na wanafunzi, utasema kuna maisha hapo? Hakuna mtu atafungua hata mgahawa auze supu pembeni ya shule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…