Ifike sehemu wewe na walimu mkae chini mmalize tofauti zenu aiseee.
 
Ila walim mbona wana maisha mazur tu juzi tu hapa wametoka kuandikisha uchaguz hela aliyopata hawez kuanzisha ujenzi ukiplus na mshahara wake na mwaka huu wanasimamia uchaguz mwakan tena uchaguz mbona wako vzur tu
 
Kama vipi Mpwayungu apewe tu nchi, ili awatetee walimu pamoja na watu wa makundi mengine katika jamii. Kampeni meneja wake atakuwa Lucas Mwashambwa.
 
Lengo ni kuwa demoralize walimu, watoe elimu hafifu, kipatikane kizazi mbumbumbu ili azimio la Mwitongo liweze kufanya kazi vizuri, mwisho wa siku nchi iendeshwe kwa matakwa ya viongozi wachache waliorithishwa vyeo na wazazi wao waliostafu uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…