Walimu wanaoenda na magari shule ni wake wa wakubwa kutoka sehemu nyingine nje ya ualimu.
Au kama ni mwalimu wa kiume ujue ana mishe nyingine nje ya ualimu.

Mostly walimu wengi wanaishi kwenye ufukara sio kwa dharau ila ndio ukweli.
Ni kada muhimu sana lakini maslahi yao duni na kila mtumishi wa serikali hujifanya ni boss wa mwalimu.
Poleni walimu wa Tanganyika haki zenu mtalipwa mbinguni.
 
Kataa ualimu. Say no to teaching.
 
Yani hawa watu ndo wahanga wa kutapeliwa, utaskia wametapeliwa na QNET saa zingine mpaka wale wa tuma kwa Namba hii walimu wanapigwa sana za uso 🀣🀣🀣🀣

Nataka kujua why walimu. Mabenk mengi yanawachapa sana maticha mpka Chama Chao cha CWT kinawatapeli

Inamana Elimu yao ndogo sana? Hawa watu niwaajab sana

Juzi Kuna ticha alikuja kwangu na kishkwambi nimuunge Facebook
 
HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina KASIMU na MWIGULU mwende mkalitazame hili jambo tujue "tunakwenda vipi".

Tumeanza kusikia "vijikelele kelele" vya walimu kutapeliwa mishahara yao, sasa mwende mkalitazame tuone jinsi ya KUBORESHA akili za walimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…