Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Nakumbuka post yako ulivyoenda kutafuta ajira ya ualimu wa kujitolea huko mikoa ya kusiniNgoja ifike 2025 utajua akili zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka post yako ulivyoenda kutafuta ajira ya ualimu wa kujitolea huko mikoa ya kusiniNgoja ifike 2025 utajua akili zao
🤣🤣🤣🤣CPA totoo katika Moja na mbili
Kwakweli akipotea jukwaa linapooza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilikuwa sijamuona siku humu...
Acha unaa🤣🤣🤣Kwahio ukiona gari nje ya shule unaona maisha yao ni mazuri....
Naijua hiyo🤣🤣🤣🤣
Unakwama wapi? Lete nikutunzie.
Walimu wanaoenda na magari shule ni wake wa wakubwa kutoka sehemu nyingine nje ya ualimu.Lkn miaka hii kuna walimu wapo good tu economically japo sio wengi ... nowadays shule mingi zna tu gari nje twa maticha hii ni improvement kubwa....kipind npo o-level nlkuwaa nakaa kwa faza mdogo ni ticha aseee tulikuwa tunakosa hadi unga wa ugali.....
Kataa ualimu. Say no to teaching.Hii kazi ni kaa la moto, nakutana na walimu barabarani wakiwa sura zimechoka, zimechimbika kama alien.
Ni watu wema sana kwa kazi yao Ila sio kwa akili walizonazo maana mambo yao always huwa ni sad and fun at the same time. Walimu bongo niwatu waliopo kwenye jumuiya ya TASAF maana kumudu mlo kamili hawawezi hata wauze ubuyu na barafu shuleni.
Hawa watu nguo zao huwa ni outdated, wanavaa pepe kale mpaka leo yani ukimwona mwalimu huuliz maana anaonekana, chakula Chao ni ugali na maharage siku ya mshahara asubuhi watoto wao wanaweza Pata mkate na mchana Wali maharage nayo sherehe kwao.
Nyumba zao ni kama magofu ya kale labda mpaka astafu napo mda wa kustafu anapata pressure, kisukali, tetekuwanga, ukoma na mkanda wa jeshi mwisho anakufa na kiharusi kwa kukatwa miguu kwa sababu ya kisukari.
Hawa watu wanapigika na jehanam wakiwa bongo mpaka kufa kwao 😭😭😭😭
Achana nae utakuwa umeoa matatizoUnanishauri nini kuhusiana na malengo yangu ya badae ya kuja kuoa mwalimu?
Nadhani 😂😂😂Nadhani kwasababu ya kipato chao hvyo wanataka kutoboa haraka kwenye maisha.
Anaitwa Joseverest 😂😂😂😂Meza unayojaribu kutingisha ina vinywaji vya gharama sana