Hivi tuongee tu ukweli...karibun hapa kuna mpasuko kati ya mwenyekiti, katibu na baadhi ya chama cha walimu Tz ( CWT) kwamba hamuoni umuhimu wa kile chama huku mwenyekiti na katibu wakilaan kususia kwenu hicho chama...yaani mkilalamika kuwa kuna makato ya asilimia mbili..(2%) kwenye mishahara yenu hukatwa kwa ajili ya CWT...hivi mmeshawah hoji hii 2% ni kwa ajili ya nn? Caz inaonekana ukishakuwa mwalimu hyo 2% ya makato ni lazima..

NB: hamuoni mpyayungu village kama anawahamasisha kufumbua macho?
 
Wakati nipo advance kuna ticha mmoja alinisanua kuwa kuna mwalimu mwenzao anapokea 16,000/= kwa mwezi, yani ana makato ya kila aina kudadeki. Kila mwezi watu wanachukua chao yeye anabaki na hyo.
Duuh aisee...afu ufeli somo lake Mungu anakumeza
 
Wakati nipo advance kuna ticha mmoja alinisanua kuwa kuna mwalimu mwenzao anapokea 16,000/= kwa mwezi, yani ana makato ya kila aina kudadeki. Kila mwezi watu wanachukua chao yeye anabaki na hyo.
Mkuu huyo mwalimu aliyekua anakuambia hiyo story akili yake iko resi just imagine wewe uwe mwalimu unamwambiaje mwanafunzi hizo story za ki wack hizo
 
Sasa nimetambua ni kwanini Magufuli alikua anaichukia jamii Forums
 
Usidanganye watu bhana,hakuna septa ya government inayoruhusu mtu kupokea elfu 16000,mwajiri na utumishi anasaini asimia acha kuwadanganya watu,wewe si umeweka card yako nje?
Sibishani
 
Walimu wanastahili heshima kama taalum nyingine yyt!
 
Wakati nipo advance kuna ticha mmoja alinisanua kuwa kuna mwalimu mwenzao anapokea 16,000/= kwa mwezi, yani ana makato ya kila aina kudadeki. Kila mwezi watu wanachukua chao yeye anabaki na hyo.
Uongo,
Total deduction compulsory na non compulsory inatakiwa iwe theruthi ya makato yote, theruthi mbili zibaki kwa mkopaji ili zisaidie kuendesha assumption kwamba theruthi 2 ya mshahara aliobakiwa nao utamsaidia hadi tarehe ya mshahara mwingine!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…