Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Muyangu kama una kiasi kidogo cha pesa ukitaka kusubiri kesho utatoa ATM please toa saizi tena shukuru Mungu nimekusanua uzuri Leo walimu wametoka kapa walikuwa wanaingia ATM kila muda kuuliza salio Bank inawaambia insufficient balance lakini bado jioni hii tena wanaingia kuuliza ATM inawaambia waache usumbufu, sasa nenda sahizi ukatoe pesa yako uepuke kesho foleni ya walimu ukienda kesho utajuta.

Hawa watu hawatakagi kwenda Kwa NMB wakala Wala kutumia NMB mkononi wanakwepa makato ya buku tatu tu, saizi wanahaha wanapwipwitwa wanaona siku haisogei Jana na Leo ni ngumu kumeza wanaugulia maumivu ya Moto tumboni kimya kimya

Walimu tafuteni chanzo cha kipato, mshahara huwa hautoshi.

Itoshe tu kusema wewe ni mwalimu
 
Aysee mpwayu kama unajua na tarehe zao za mshahara nahisi utakuwa miongoni mwa waalimu ambao aidha unajitolea au unafundisha tuisheni watoto wa mme wa dada ako
 
Aysee mpwayu kama unajua na tarehe zao za mshahara nahisi utakuwa miongoni mwa waalimu ambao aidha unajitolea au unafundisha tuisheni watoto wa mme wa dada ako
Hata sipo huko mkuu, hakuna mwenye uwezo wa kuniajiri. Nina biashara zangu nimeajiri vijana zaidi ya kumi nawalipa mshahara Kwa wakati unaotunza Familia zao nawanasomesha shule za private
 
Uongo,
Total deduction compulsory na non compulsory inatakiwa iwe theruthi ya makato yote, theruthi mbili zibaki kwa mkopaji ili zisaidie kuendesha assumption kwamba theruthi 2 ya mshahara aliobakiwa nao utamsaidia hadi tarehe ya mshahara mwingine!!
Acha ligi, Kuna mikopo inabidi uache kadi, kwahiyo ukiacha kadi kwenye hizo loan office wao wanaenda na kadi yako wanaingiza kwenye mashine zao wanatoa mshahara wako, kiasi kinachobaki wanakuachia maana mpaka namba ya siri unawapa kila kitu
 
Wakati nipo advance kuna ticha mmoja alinisanua kuwa kuna mwalimu mwenzao anapokea 16,000/= kwa mwezi, yani ana makato ya kila aina kudadeki. Kila mwezi watu wanachukua chao yeye anabaki na hyo.
Nina wasiwasi kama ni kweli ulifika hiyo advanced level, sio kwa kamba hii aiseeh.!

😂😂
 
Acha ligi, Kuna mikopo inabidi uache kadi, kwahiyo ukiacha kadi kwenye hizo loan office wao wanaenda na kadi yako wanaingiza kwenye mashine zao wanatoa mshahara wako, kiasi kinachobaki wanakuachia maana mpaka namba ya siri unawapa kila kitu
Sasa hio kuacha kadi umekiuka taratibu za utumishi wa uma,huruhusiwi pia na bank kuacha kadi yako.Una makosa kwa Bank provider wako na kwa mwajiri wako.Kama una familia mkeo atakushitaki akijua
 
Unatakiwa uvae vizuri kama mwalimu,uitunze familia yako,uwe smart mda wote,utayafanyeje hayo ikiwa take home yako ni 16,000?
 
Sasa hio kuacha kadi umekiuka taratibu za utumishi wa uma,huruhusiwi pia na bank kuacha kadi yako.Una makosa kwa Bank provider wako na kwa mwajiri wako.Kama una familia mkeo atakushitaki akijua
Basi ipo hivyo
 
Back
Top Bottom