Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Haya, kuna mwingine basic salary ni mil. 1+ lakini kinachoingia kwenye akaunti yake kwa mwezi ni 76,000/= yupo hapo TBL. Sijaona hyo 1/3 inayoimbwa kila siku.Uongo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya, kuna mwingine basic salary ni mil. 1+ lakini kinachoingia kwenye akaunti yake kwa mwezi ni 76,000/= yupo hapo TBL. Sijaona hyo 1/3 inayoimbwa kila siku.Uongo,
Muyangu kama una kiasi kidogo cha pesa ukitaka kusubiri kesho utatoa ATM please toa saizi tena shukuru Mungu nimekusanua uzuri Leo walimu wametoka kapa walikuwa wanaingia ATM kila muda kuuliza salio Bank inawaambia insufficient balance lakini bado jioni hii tena wanaingia kuuliza ATM inawaambia waache usumbufu, sasa nenda sahizi ukatoe pesa yako uepuke kesho foleni ya walimu ukienda kesho utajuta.
Hawa watu hawatakagi kwenda Kwa NMB wakala Wala kutumia NMB mkononi wanakwepa makato ya buku tatu tu, saizi wanahaha wanapwipwitwa wanaona siku haisogei Jana na Leo ni ngumu kumeza wanaugulia maumivu ya Moto tumboni kimya kimya
Walimu tafuteni chanzo cha kipato, mshahara huwa hautoshi.
Hata sipo huko mkuu, hakuna mwenye uwezo wa kuniajiri. Nina biashara zangu nimeajiri vijana zaidi ya kumi nawalipa mshahara Kwa wakati unaotunza Familia zao nawanasomesha shule za privateAysee mpwayu kama unajua na tarehe zao za mshahara nahisi utakuwa miongoni mwa waalimu ambao aidha unajitolea au unafundisha tuisheni watoto wa mme wa dada ako
Acha ligi, Kuna mikopo inabidi uache kadi, kwahiyo ukiacha kadi kwenye hizo loan office wao wanaenda na kadi yako wanaingiza kwenye mashine zao wanatoa mshahara wako, kiasi kinachobaki wanakuachia maana mpaka namba ya siri unawapa kila kituUongo,
Total deduction compulsory na non compulsory inatakiwa iwe theruthi ya makato yote, theruthi mbili zibaki kwa mkopaji ili zisaidie kuendesha assumption kwamba theruthi 2 ya mshahara aliobakiwa nao utamsaidia hadi tarehe ya mshahara mwingine!!
Hawa malofer hawa [emoji23][emoji23][emoji23]Walimu wanastahili heshima kama taalum nyingine yyt!
Hakuna anaye wadharau walimu ila kinaongelewa uhalisiaNdio maana natetea walimu wasidharauliwe??
Bora umesemaHakuna anaye wadharau walimu ila kinaongelewa uhalisia
Utawehuka wewe, kila nyuzi DP DP DP DP, jifunze kuwa na kiasi katika harakati zako za UCHAWA.Hakuna malipo kesho. Tunasubiri DP World wamesema wanatuma mwisho wa mwezi.
Hapo sasa.
Sawa endelea.Hakuna anaye wadharau walimu ila kinaongelewa uhalisia
Sorry na drive nakosea maneno
Nina wasiwasi kama ni kweli ulifika hiyo advanced level, sio kwa kamba hii aiseeh.!Wakati nipo advance kuna ticha mmoja alinisanua kuwa kuna mwalimu mwenzao anapokea 16,000/= kwa mwezi, yani ana makato ya kila aina kudadeki. Kila mwezi watu wanachukua chao yeye anabaki na hyo.
Labda kama mshahara wako haupo katika mfumo wa LawsonHaya, kuna mwingine basic salary ni mil. 1+ lakini kinachoingia kwenye akaunti yake kwa mwezi ni 76,000/= yupo hapo TBL. Sijaona hyo 1/3 inayoimbwa kila siku.
Sasa hio kuacha kadi umekiuka taratibu za utumishi wa uma,huruhusiwi pia na bank kuacha kadi yako.Una makosa kwa Bank provider wako na kwa mwajiri wako.Kama una familia mkeo atakushitaki akijuaAcha ligi, Kuna mikopo inabidi uache kadi, kwahiyo ukiacha kadi kwenye hizo loan office wao wanaenda na kadi yako wanaingiza kwenye mashine zao wanatoa mshahara wako, kiasi kinachobaki wanakuachia maana mpaka namba ya siri unawapa kila kitu
SibishaniNina wasiwasi kama ni kweli ulifika hiyo advanced level, sio kwa kamba hii aiseeh.!
í ½í¸í ½í¸
Na huyo mwalimu yupo very smart ukimuona humdhaniiUnatakiwa uvae vizuri kama mwalimu,uitunze familia yako,uwe smart mda wote,utayafanyeje hayo ikiwa take home yako ni 16,000?
Swala la mtumishi wa umma kupokea 16,000Tsh baada ya makato sio swala la kubishana, hakuna cha kubishana kwenye uongo kama huo.Sibishani
Basi ipo hivyoSasa hio kuacha kadi umekiuka taratibu za utumishi wa uma,huruhusiwi pia na bank kuacha kadi yako.Una makosa kwa Bank provider wako na kwa mwajiri wako.Kama una familia mkeo atakushitaki akijua