Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Muyangu kama una kiasi kidogo cha pesa ukitaka kusubiri kesho utatoa ATM please toa saizi tena shukuru Mungu nimekusanua uzuri Leo walimu wametoka kapa walikuwa wanaingia ATM kila muda kuuliza salio Bank inawaambia insufficient balance lakini bado jioni hii tena wanaingia kuuliza ATM inawaambia waache usumbufu, sasa nenda sahizi ukatoe pesa yako uepuke kesho foleni ya walimu ukienda kesho utajuta.

Hawa watu hawatakagi kwenda Kwa NMB wakala Wala kutumia NMB mkononi wanakwepa makato ya buku tatu tu, saizi wanahaha wanapwipwitwa wanaona siku haisogei Jana na Leo ni ngumu kumeza wanaugulia maumivu ya Moto tumboni kimya kimya

Walimu tafuteni chanzo cha kipato, mshahara huwa hautoshi.
Mpwayungu the great kwenye ubora wako, tunaomba ukaimalizie hile story yako ya Lindi acha uzwazwa.
 
Ulianza kuwadharau walimu kitambo inavyoonekana,
maana usingeandika
Vinala badala ya Vinara.
Walimu ndio walianza kumdharau mpwayungu na walimtesa sana kule Lindi acha hawazodoe, mpwayungu alikuwa kama ndondocha acha hawachukie 😂😂😂😂😂😂, kasome story yake utajua kwanini hawapendi walimu na muda mwingine anawaonea huruma.
 
Hivi huyu huwa hana mada yoyote zaidi ya topic za walimu.

Kweli JF imeingiliwa, kila cku ana topic moja tu basi,,inafikia hatua hata uzi wake huwezi soma coz dairy ni topic moja tu.

Nipo JF miaka zaidi ya 7 naona hili jina ni jipya la mpyayunge village.

Kweli JF ni kama kokolo inabeba kila mtu.

Kila la kheri katika harakati zako mpya za kudeal na walimu tu.
 
Wewe ulitaka aandike nini! Eti upo jf for 7 years ila mbona bado una mawazo na mtazamo wa kipuuzi
 
Wewe ulitaka aandike nini! Eti upo jf for 7 years ila mbona bado una mawazo na mtazamo wa kipuuzi
Uko sahihi kabisa unaweza kuwa mtazamo wa kipuuzi kutoka na uwezo wako wa kuchambua mambo.

Ukiona ni mtazamo wa kipuuzi is ok maana uwezo wako wa kufikiri umechambua andiko langu katika uelekeo.

Au,wewe ndiyo wale anakuwa na acc nyingi hlf UZI wake anakuwa anachat mwenyewe kwa majina tofauti.

Kwa sisi wakongwe wa JF tuna uzoefu na humu, na tuna watu wenye heshima zao na walio kundi la GREAT THINKER

Hawakupata heshima hizo kwa kujibu hoja kwa mihemko.
 
Mjinga tuu wewe! Wewe unatakiwa uje na hoja zako wala sio kuelekeza humu ! Eti watu wenye heshima ndio nini! Acha kujidai mjuaji boya wewe
 
Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe

Ukienda shule za private ambazo ni vinala wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla ya kuajiriwa, tena bila marks ya 85 % to above hupati chance ya kuwa ticha fatilia.

Sasa iweje walimu wa serikali tuwe tunazowa tu wengine nimafailure wa secondari ukimpa log iliyoshiba anakwambia nendeni mkadiscuss kumbe kashindwa

Shida ni kwamba serikali ilikosea tangu uhuru kuruhusu aliyefeli ndoafundishe wanafunzi, aliyefeli kafeli tuu ndio maana hata kwenye maisha walimu wote ni makapuku tu

Thread 'Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?' Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

View attachment 2664285
Acheni dharau mnataka kutuambia walimu vyuo vyote walikopita walikuwa hawafaulu mitihani yao? Je mnatuambia na wakufunzi walio wafundisha nao ni vilaza. Acheni hizo mna njama za kukwepa kuajiri walimu kwa kigezo kuwa wamefeli mitihani mliowapa wakati wamefaulu mitihani yao iliyohusu kada yao ya ualimu walipokuwa cchuoni. SIUNGI MKONO HOJA KWA KUFANYA HIVYO MNADHALILISHA HATA WAKUFUNZI WA UWALIMU WENYEWE
 
Back
Top Bottom