Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #141
Hakuna mwalimu smart hii bongo wote malofer tuNa huyo mwalimu yupo very smart ukimuona humdhanii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwalimu smart hii bongo wote malofer tuNa huyo mwalimu yupo very smart ukimuona humdhanii
Mpwayungu the great kwenye ubora wako, tunaomba ukaimalizie hile story yako ya Lindi acha uzwazwa.Muyangu kama una kiasi kidogo cha pesa ukitaka kusubiri kesho utatoa ATM please toa saizi tena shukuru Mungu nimekusanua uzuri Leo walimu wametoka kapa walikuwa wanaingia ATM kila muda kuuliza salio Bank inawaambia insufficient balance lakini bado jioni hii tena wanaingia kuuliza ATM inawaambia waache usumbufu, sasa nenda sahizi ukatoe pesa yako uepuke kesho foleni ya walimu ukienda kesho utajuta.
Hawa watu hawatakagi kwenda Kwa NMB wakala Wala kutumia NMB mkononi wanakwepa makato ya buku tatu tu, saizi wanahaha wanapwipwitwa wanaona siku haisogei Jana na Leo ni ngumu kumeza wanaugulia maumivu ya Moto tumboni kimya kimya
Walimu tafuteni chanzo cha kipato, mshahara huwa hautoshi.
Ipo siku isiyonajinaMpwayungu the great kwenye ubora wako, tunaomba ukaimalizie hile story yako ya Lindi acha uzwazwa.
Unawapenda sana walimu lakini hawajui kama unawapenda😂😂😂Ipo siku isiyonajina
Walimu ndio walianza kumdharau mpwayungu na walimtesa sana kule Lindi acha hawazodoe, mpwayungu alikuwa kama ndondocha acha hawachukie 😂😂😂😂😂😂, kasome story yake utajua kwanini hawapendi walimu na muda mwingine anawaonea huruma.Ulianza kuwadharau walimu kitambo inavyoonekana,
maana usingeandika
Vinala badala ya Vinara.
Mrangi ! Nimempata kumbe alipigwa Ban
Kaachiwa jana jioni[emoji1] mbona yupo
Ova
Wewe ulitaka aandike nini! Eti upo jf for 7 years ila mbona bado una mawazo na mtazamo wa kipuuziHivi huyu huwa hana mada yoyote zaidi ya topic za walimu.
Kweli JF imeingiliwa, kila cku ana topic moja tu basi,,inafikia hatua hata uzi wake huwezi soma coz dairy ni topic moja tu.
Nipo JF miaka zaidi ya 7 naona hili jina ni jipya la mpyayunge village.
Kweli JF ni kama kokolo inabeba kila mtu.
Kila la kheri katika harakati zako mpya za kudeal na walimu tu.
KabisaUnawapenda sana walimu lakini hawajui kama unawapenda[emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sahihi kabisa unaweza kuwa mtazamo wa kipuuzi kutoka na uwezo wako wa kuchambua mambo.Wewe ulitaka aandike nini! Eti upo jf for 7 years ila mbona bado una mawazo na mtazamo wa kipuuzi
Mjinga tuu wewe! Wewe unatakiwa uje na hoja zako wala sio kuelekeza humu ! Eti watu wenye heshima ndio nini! Acha kujidai mjuaji boya weweUko sahihi kabisa unaweza kuwa mtazamo wa kipuuzi kutoka na uwezo wako wa kuchambua mambo.
Ukiona ni mtazamo wa kipuuzi is ok maana uwezo wako wa kufikiri umechambua andiko langu katika uelekeo.
Au,wewe ndiyo wale anakuwa na acc nyingi hlf UZI wake anakuwa anachat mwenyewe kwa majina tofauti.
Kwa sisi wakongwe wa JF tuna uzoefu na humu, na tuna watu wenye heshima zao na walio kundi la GREAT THINKER
Hawakupata heshima hizo kwa kujibu hoja kwa mihemko.
sawa mkuu una bifu na walimu, ila kudhalilisha watu hivi sio poaView attachment 2665625
Mpaka mme wako hakutaki anachimba wanawake wengine basi una shida kwenye maumbile yako na akili yako haiko Sawa
[emoji120][emoji120][emoji120]sawa mkuu una bifu na walimu, ila kudhalilisha watu hivi sio poa
Acheni dharau mnataka kutuambia walimu vyuo vyote walikopita walikuwa hawafaulu mitihani yao? Je mnatuambia na wakufunzi walio wafundisha nao ni vilaza. Acheni hizo mna njama za kukwepa kuajiri walimu kwa kigezo kuwa wamefeli mitihani mliowapa wakati wamefaulu mitihani yao iliyohusu kada yao ya ualimu walipokuwa cchuoni. SIUNGI MKONO HOJA KWA KUFANYA HIVYO MNADHALILISHA HATA WAKUFUNZI WA UWALIMU WENYEWEHili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe
Ukienda shule za private ambazo ni vinala wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla ya kuajiriwa, tena bila marks ya 85 % to above hupati chance ya kuwa ticha fatilia.
Sasa iweje walimu wa serikali tuwe tunazowa tu wengine nimafailure wa secondari ukimpa log iliyoshiba anakwambia nendeni mkadiscuss kumbe kashindwa
Shida ni kwamba serikali ilikosea tangu uhuru kuruhusu aliyefeli ndoafundishe wanafunzi, aliyefeli kafeli tuu ndio maana hata kwenye maisha walimu wote ni makapuku tu
Thread 'Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?' Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?
View attachment 2664285
Ila wewe 😂😂Uwe nae mguu Kwa mguu mpaka ATM vinginevyo humpati, hawa watu wanashida mpaka matakoni