Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Kada hii kila siku inataka ajira, kila siku inataka kuonewa huruma mbona kada zingine kama uhandisi, HR, accountancy nk hawana Roho ya kuomba omba kama hawa walimu shida inakuwa nini?

Wamegeuza Mei mosi kama inawahusu wao tu wengine hapana, walimu ifike wakati mjisimamie wenyewe
 
Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe

Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla ya kuajiriwa, tena bila marks ya 85 % to above hupati chance ya kuwa ticha fatilia.

Sasa iweje walimu wa serikali tuwe tunazowa tu wengine nimafailure wa secondari ukimpa log iliyoshiba anakwambia nendeni mkadiscuss kumbe kashindwa

Shida ni kwamba serikali ilikosea tangu uhuru kuruhusu aliyefeli ndoafundishe wanafunzi, aliyefeli kafeli tuu ndio maana hata kwenye maisha walimu wote ni makapuku tu

Thread 'Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?' Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Chuo gani hicho kinachopokea mtu aliefeli nimpeleke mdogo angu
 
Back
Top Bottom