Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
This job is hell on earth!!. Hawa watu wametapakaa mitaani kama jobless kumbe watumish.
Fursa ya sensa wapo, fursa ya kuandikisha daftar la kudumu wapo, fursa za kuhesabisha na kusimamia kura wapoo, anuani za makazi waoo tu,.

Unashindwa kuelewa whats wrong nahawajawahi kuelimika wala kupiga hatua. Walimu jaribun kuepuka hizi fezeha
Tunawaheshim Ila nyie mnajidisvalue, just imagine ticha unaenda kukopa pesa kwa mwanafunz 😂😂😂

Biashara zao ni vitumbua na ubuyu shuleni over. Sasa utatajirika vipi

Take care otherwise mtakuwa poverty ambassador whole life
Mimi ni mwalimu pia unasemaje kuhusu sisi...

MWALIMU MAMBOLEO (NEO_TEACHER)
 
Fedheha!

Ualimu ni kazi nzuri sana. Inasaidia kuwaondolea watu ujinga. Suala la maslahi lisisababishe uuone ualimu ni kazi mbaya. One day yes!
why uite watu ni wajinga kisa tu hawajui kusoma na kuandika. wewe unajua kila kitu
hata Wasira alishasema mshahara hautajirishi mtu, hivyo tunapochahua kuajiriwa ,automatically tumechagua umasikini
 
HAPANA YESU ANATUFUNDISHA KUHESHIMU KILA KAZI YA MMOJA WETU IKIWA TU NI KAZI HALALI

UNYENYEKEVU NI MUHIMU NA TUIGE MFANO WA KRISTO WOTE NI WAPITAJI HUMU.
Yesu alisha wahi kua na kazi au kuajiliwa popote sasa masuala ya kazi aliajulia wapi? Yeye kwa uoga wake alikimbia dunian haraka miaka 33 tu angeka mpaka miaka 60 asingetoboa acha maisha haya
 
Acha dharau na ushamba wewe! Asilimia KUBWA ya familia za Kitanzania ndugu zetu Ni walimu ndo wametusomesha na kutunza wazazi, Tatizo mkipata vipesa kidogo mnajiona mnamiliki Dunia kumbe hamna kitu,mnakuja kuishia kwenye fedhea na aibu kwa jamii, huku ndugu zenu huko vijijini wanavaa vilaka,malapulapu na kushinda wanafanya vibarua nyumba za walimu,,,😏😏
 
Back
Top Bottom