Maoni na malalamiko ya wananchi wa hali ya chini yasipuuzwe

Maoni na malalamiko ya wananchi wa hali ya chini yasipuuzwe

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
2,754
Reaction score
4,975
Awamu iliyopita ilijitahidi sana kuwa karibu na wananchi hususan wale wa tabaka la chini, Kwa kuwasikiliza! Haijalishi hoja anayokuja nayo mwananchi yeyote ukiwa kama kiongozi unapaswa kusikiliza na kuwa humble!

Ni vibaya mno kiongozi kukataa kusikiliza sauti ya yule anayemuongoza! Bila kujalisha situation au mazungumzo husika, kiongozi anapaswa kuwa mnyenyekevu mno!.

Jambo ambalo kwa namna moja ama nyingine linaonekana kuwa tofauti kwa awamu iliyopo.
 
Kwa sababu amewekwa na katiba na sio na wananchi ndio maana anadharau walala hoi.
 
Screenshot_2024-04-10-14-34-15-2.png
 
Hapana. Jiwe alikuwa msanii sana. Watu wengi waliokuwa wanajitokeza walikuwa "wamepangwa". Alikuwa mshenzi sana yule.

Mwananchi akijitokeza ambaye "hajapangwa" alikuwa anamtukana ama kuamuru aondolewe.

Mfano ni kwenye uzinduzi wa stendi kuu ya mabasi ya mikoani Mbezi Mwisho. Mwananchi ambaye hakuandaliwa (kupanga) alihoji bei ya huduma ya choo kuwa 500. Akajjbiwa abebe mavi yake.

Yule mwananchi wa Kagera mpaka leo hajulikani kama aliuawa ama la
 
Kuna mwanamke mwingine huko mikoa ya kusini naye alidhani watu wako serious, akapewa MIC kwa bahati mbaya, akauliza kuhusu maji, akamwambia amuambie mume wako akojoe Ili wapate maji, au amtake diwani wake wa upinzani amletee maji.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Ikiwa anaiita Katiba kijitabu ambacho hicho ndicho kimempa madaraka,

Atamsikiza vipi Mwananchi ambaye hakuhusika direct kumwekea madarakani!!
 
Kuna mwanamke mwingine huko mikoa ya kusini naye alidhani watu wako serious, akapewa MIC kwa bahati mbaya, akauliza kuhusu maji, akamwambia amuambie mume wako akojoe Ili wapate maji, au amtake diwani wake wa upinzani amletee maji.
Alikuwa mhuni sana jiwe
 
Back
Top Bottom