Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Alikuwa mhuni sana jiweKuna mwanamke mwingine huko mikoa ya kusini naye alidhani watu wako serious, akapewa MIC kwa bahati mbaya, akauliza kuhusu maji, akamwambia amuambie mume wako akojoe Ili wapate maji, au amtake diwani wake wa upinzani amletee maji.
Duh! maisha yapo taiti Sana inawezekana ukawa utumbo wa pig .