Maoni na Msimamo wa Baraza la Katiba la Wasanii

Kwa unaongea kitoto NAKUPUUZA.

Umeuliza maswali ya kitoto kisha unategemea nikujibu. Kawaulize watoto wenzako watakujibu.

Ungeuliza why serikali moja na kadhalika.

Rudi shule
 
ZeMarcopolo,

..hata wazo la serikali 3 ilikuwa hivyo hivyo.

..inabidi tuanze kuzungumzia hii idea ya serikali moja.

..Watanganyika na Wazanzibari ni ndugu, sasa sioni kwanini tuone haya kuzungumza uwezekano wa kuunda serikali moja.

..uwezekano wa kupunguza gharama ni mkubwa zaidi ikiwa tutakuwa na serikali moja.
 
Last edited by a moderator:
ndugu,
tukiachana na hofu na uoga hilo linawezekana.
Wasanii wamependekeza serikali moja na mabunge mawili. Yaani senate na congress.

Serikali tatu ni kuua muungano. Ni hatari sana kwa usalama wa nchi.
ndo maana nasema maoni haya ya kisanii huwezi ukawa na mfumo wa mabunge mawili bila kuwa na devolution serikali ya majimbo sasa eti kutakuwa na mabunge mawili bila kuangalia muundo wa serikali utakuwaje.
Nimeaanza kuamni absolutely kuwa maoni haya kaandika lulu.
 
kupendekeza serikali moja inaonekana wengi kwenye kikao walikuwa na haraka ya kusepa...
Hukutupangia muda wa kulijadili hili.

Ukisoma kwa makini post ya kwanza nimesema kuwa dokumenti ikiwa tayari nitaweka update hapa.
Mkuu ktk sanaa unayoidharau kuna wanasheria, madaktari na kadhalika.

Kwa ripoti ya WIPO ya mwaka huu, nchi ya Tanzania imenufaika na mchango wa kazi za wasanii ktk pato la taifa kwa 5.7%. Kwa hiyo usidhani tunaongelea alinacha
 

Hivi chadema ikitoa muujiza wa karne ikaingia madarakani watu wengine wataruhusiwa kuwa na maoni yao kweli.

Nyinyi ndio mnamuona Kikwete dikteta, wakati ndani ya Chadema mtu kuwa na mawazo tofauti ni kosa la jinai.

Kama mnataka kila mtu awe na mawazo kama Chadema sasa mnazunguka kukusanya maoni ya nini?
 
kwa unaongea kitoto nakupuuza.

Umeuliza maswali ya kitoto kisha unategemea nikujibu. Kawaulize watoto wenzako watakujibu.

Ungeuliza why serikali moja na kadhalika.

Rudi shule
dah eti mabunge mawili so what, what is the applicability, in what context. Wewe utakuwa umesomea mambo ya ngoma za jadi pale badeko magambani bagamoyo yaani lulu atoe mawazo halafu wewe unayaleta jamvini humu bila kuyachuja.
 
akili kama za expert broker hizi au za viroba eti nae kaongea point c muda mref utamtaja dr slaa hapa huchelewi
mwaikenda,

..kwenye post yako #8 umetoa hoja nzuri ambazo nadhani zinapaswa kupewa uzito.

..haya maoni uliyoyaelekeza kwangu hata sijui nianzie wapi kukujibu. kwa ujumla umenishambulia binafsi badala ya kujadili kile nilichoandika.

..mimi bado na-stick to my argument kwamba tujadili faida na hasara za muungano wa serikali 1, 2, au 3. pia tujadili faida na hasara za kuvunja muungano.
 
Last edited by a moderator:
umetaja chadema bado dr slaa ili ukachukuwe buku 7. Maana kila mtu akitoa hoja humu kinyume na utakavyo basi ni chadema kuna wengine tupo ccm hukuhuku na tunataka changes na hoja.
 

Ni jambo linalozungumzika. Limezungumzwa sana ingawa sio kwenye vyombo vya habari, lakini mazungumzo hayo yamedhihirisha kuwa serikali ya Zanzibar kuivunja ni jambo linalohitaji mikakati endelevu ya miaka isiyopungua 20. Kama watanzania wanataka kuwa na katiba mwaka 2014 basi serikali mbili zitabaki, any changes to the number of government must come with the price of significant delay in the process which may imply absence of general election in 2015.

Choices have concequences...
 
umetaja chadema bado dr slaa ili ukachukuwe buku 7. Maana kila mtu akitoa hoja humu kinyume na utakavyo basi ni chadema kuna wengine tupo ccm hukuhuku na tunataka changes na hoja.

CCM hamna mtu kama wewe.
 

Kwani Lulu hapaswi kuwa na maoni?
 
By ZeMarcopolo

Mechanism ya kukiua cheo cha Rais wa Zanzibar ndio kikwazo.

Hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye haoni kwamba serikali moja ndio the way to go, but the question is HOW TO START. Yaani ni sawa na mtu anayeona kabisa kuwa ili aende kazini comfortably anahitaji kununua gari lakini kipato hakiruhusu. Serikali moja ni sahihi, but how do you remove the government of Zaznibar? Any suggestions?

Kwa mapinduzi!kwani wao si walipindua serikali ya kisultani?
 
michango ya kazi za wasanii ni nyingi sana zikiwepo.
1. Kununua poda china.
2. Kuongeza makalio.
3. Kuvaa pedo.
4. Kuongeza kope
5. Kwenda big brother
6. Kubeba sembe.
7. Kushinda ambiance
8. Kulewa vinywaji vichungu
9. Makeup
10. Nyimbo za mapenzi.\
11. Kuvaa miwani ya tinted ile ya gharama wanalipa kodi pia kupitia hii
yote haya yana involve mambo ya kodi so wanachangia sana katika pato la taifa. Sijabisha na kamwe sitakuja kubisha.
 

Umesahau biashara ya ngono ingawa hili TRA hawajawa makini kuweza kukusanya mapato,wakijipanga aaah!mbona chungu kitachemka?
 
kilichopo hapa kina reflect hicho kilichopo kwenye documents naona umekurupuka kuleta hoja za kilulu lulu hapa ndo maana nikasema kikao kilikuwa cha fasta fasta watu wanawahi gambe leo ijumaa.
 
nyinyi mmekuja kwa malengo ya makusudi ya kuichafua thread ya maoni ya wasanii. Taht is not fair.

Mbona kwenye thread zenu za chadema huwa watu wengine hawawachafulii mijadala yenu?

Acheni tuyajadili maoni ya wasanii accordingly...
hakuna uchadema hapa wala u ccm hapa maoni haya ni ya kitoto kabisa halafu na wewe unatetea
mwambie akalete upya maoni haya hayafai hayana tafakuri kabisa maoni gani hata mtoto wa darasa la 3 shule ya msingi kwa mtogole hawezi andika maoni kam haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…