Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
- Thread starter
- #21
Kwa unaongea kitoto NAKUPUUZA.kwa kifupi maoni yenu ni ya kitoto na kisanii kabisa yamekaa kilulu lulu tu au kwa akili ya kawaida tu bila kwenda shule huwezi sema serikali moja so what.what is the basis, what is the objective.
Nakushauri kalete maoni mengine. Haya hatuyataki ni ya kisanii sana
Umeuliza maswali ya kitoto kisha unategemea nikujibu. Kawaulize watoto wenzako watakujibu.
Ungeuliza why serikali moja na kadhalika.
Rudi shule
