Maoni na Ushauri kwa Diamond na WCB

Maoni na Ushauri kwa Diamond na WCB

Huwa anawalazimisha kusikiliza au kiherehere chenu tu, tupishe hebu.
wivu dear..ila tunawapa presha watu w dizaini hii hahah
Me nimetoa maoni yangu ww unabishana, kama una maoni yako na ww toa, chibu asipochange tutampoteza hv karbun mark my words.

Swala la tuzo alishinda kwa sababu hizi :-
1). Alitoa nyimbo kali
2). Upigaji kula wa mtandaoni ulizingatiwa (sio kama mtv2016)
3). Ndo mara ya kwanza kuwa mtv so watz walitaka tuzo irudi home.

My take:-
Wasanii wabongo waache kutegemea kushinda kula kwa kula za mtandao eg:- instagrm, Twitter n.k badala yake watoe nyimbo kali hili tushinde tuzo hizo.
Kwann nasema wasitegemee mitandao?
Huu mfumo hautumiki tena angalia mifano hii:-
Eddy kenzo alikuwa na kula nyingi,
Diamond alikuwa na kula nyingi,
JPM alikuwa na kula nying lakn alishindwa juz tuu.

DIAMOND TUNATAKA MZIKI MZURI.
umpoteze wewe nani? sahau hilo
mwenzio hategemi mziki tu...halafu sibishani na wewe nina kuelewesha,mtoa mada ameelezea vizuri sana na amechanganua vizur ila ww unajifanya unajua sana wewe huo mziki mzuri unaoutaka ni upi?
wewe una wivu na chuki sana ndio maana unaongea kishari shari
kwa taarifa yako chibu hapotei na wala hata potea ...
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100.

Na kwa kuongezea tu, WCB watanue shughuli zao badala ya kujikita eneo moja la Music...yaani wadili na Entertainment kwa ujumla.

Kuna ombwe kubwa upande wa Video production, sioni ni kwa vipi tushindwe kutengeneza kina 'God father' wetu hapa hapa Bongo watakaotengeneza kile tunachokifuata SA...WCB ifanye audition wapatikane vijana wenye uwezo, wapelekwe darasani waongeze ujuzi warudi kupiga kazi..kati ya kumi hatutakosa walau watatu watakao fanya makubwa kwenye production.

Na baadae si vibaya WCB ikaingia kwenye kuanda Filamu....kuna ombwe kubwa sana eneo hilo haswa upande wa production, na WCB inavyoenda kuna kila dalili za wazi kuwa wanaweza kufanya vizuri eneo hilo.
 
Tumechoka na nyimbo za ujanja ujanja za diamond, atengeneze nyimbo nzuri OVER
Safi, mpe vidonge vyake...wakati kuna wakali kama kina Afande wanafanya muziki wa ukweli na sasa wamekimbilia kwenye siasa.
 
Nimependa ushauri wako. Nina imani Chibu Dangote Mond bin Laden atakuwa kapata hii message.
 
Ushauri mzuri sana I hope Sallam au Diamond mwenyewe atapitia hapa achukue ushauri wa kujenga ili kuleta maendeleo katika mziki wa Tanzania.....

4. Kile kifaa katika wimbo "Ntampata wapi" kinaitwa "Violin" na wapigani wa kifaa hicho wapo atangaze ajira tu watu watajitokeza.

5.Kuhusu album ni kweli asiogope kukompile na kutengeneza ili auze, tena atengeneze format zote za album kama vile Audio Cassette, DVD, Audio CD na kubwa kuliko yote atengeneze pia Santuri, ndio nna maana LP au Vinyl records kama alivyofanya Yemi Yalade katka album hii mpya yenye nyimbo kama Koffi Annan hii itasaidia kuteka soko la mziki la America kaskazini, Ulaya na Scandinavian countries .

6. Kuhusu studio nimesikia ameagiza mixer ya dollar 40,000 mixer kubwa ya hivo inahitaji studio pana na kubwa.

All in all ushauri wako ni ushauri mzuri na jengezi.
 
1479626390964.png
kumbe ni wewe[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hapana,mwenyewe nimeshangaa nimekuta amekopi..angalia muda aliokoment ni tofaut na wangu..
 
Ningependa kumshauri Diamond awe makini sana na huyo babu Tale. Usikubali huyo jamaa akakutumia and then akaku-dump kama alivyowafanya wakina Spack na Tundaman.

Fanya ma-investment ya kutosha ili hata pindi ukianza kuporomoka kimuziki (which is inevitable) uwe na reliable sources of income. Jifunze kupitia kwa wasanii wengine waliopata nafasi ya kuonja mafanikio ya kimuziki wakalewa sifa afu mwisho wa siku walipochuja kimuziki wakajikuta hawana kitu!

Endelea kujitengenezea sifa na taswira yako kimataifa ili uendelee kuramba endorsements za nguvu kila uchao (Endorsements ndo mpango mzima babu).

Afu huyo mkeo (ZARI) komaa nae mwanangu (hilo limama lina nyota njema afu lina pua nzuri za kunusa pesa, usithubutu kumtosa huyo bibie).

Pia, achana na mabifu uchwara. wewe piga kazi tu. mambo ya uswahili mwachie kiba na team zake za akina shilole kiuno. Wewe CHAPA KAZI TU. Toa hit baada ya hit. watakuelewa tu.

Ila cha MSINGI: DONT trust too much that fat wop going by the name of Babu Tale. Asije akakutumia kama Don King alivowatumia wakina Muhammad Alli na Mike Tyson.

AM DONE TYPING..
 
Kingine amsaini kiba kama dancer na pia kama back vocalist atafaa kwenye live show
 
Back
Top Bottom