tya02
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 850
- 1,061
wivu dear..ila tunawapa presha watu w dizaini hii hahahHuwa anawalazimisha kusikiliza au kiherehere chenu tu, tupishe hebu.
umpoteze wewe nani? sahau hiloMe nimetoa maoni yangu ww unabishana, kama una maoni yako na ww toa, chibu asipochange tutampoteza hv karbun mark my words.
Swala la tuzo alishinda kwa sababu hizi :-
1). Alitoa nyimbo kali
2). Upigaji kula wa mtandaoni ulizingatiwa (sio kama mtv2016)
3). Ndo mara ya kwanza kuwa mtv so watz walitaka tuzo irudi home.
My take:-
Wasanii wabongo waache kutegemea kushinda kula kwa kula za mtandao eg:- instagrm, Twitter n.k badala yake watoe nyimbo kali hili tushinde tuzo hizo.
Kwann nasema wasitegemee mitandao?
Huu mfumo hautumiki tena angalia mifano hii:-
Eddy kenzo alikuwa na kula nyingi,
Diamond alikuwa na kula nyingi,
JPM alikuwa na kula nying lakn alishindwa juz tuu.
DIAMOND TUNATAKA MZIKI MZURI.
mwenzio hategemi mziki tu...halafu sibishani na wewe nina kuelewesha,mtoa mada ameelezea vizuri sana na amechanganua vizur ila ww unajifanya unajua sana wewe huo mziki mzuri unaoutaka ni upi?
wewe una wivu na chuki sana ndio maana unaongea kishari shari
kwa taarifa yako chibu hapotei na wala hata potea ...