Maoni na Ushauri kwa Diamond na WCB

Maoni na Ushauri kwa Diamond na WCB

Jiraniyetu

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
350
Reaction score
333
Kwanza kabisa napenda kukupongeza juu mafanikio uliyoyafikia kimuziki na kimaisha,,na pia nikupongeze juu ya maamuzi yako ya kuanzisha label ya WCB na kuwekeza mamilioni ya mapesa ili kuwezesha vijana wenye vipaji kuonyesha manjonjo yao chini ya mikono yako. Lebo ya WCB ni label namba moja kwasasa Afrika mashariki, na imetengeneza ajira kwa vijana wengi(zaidi ya 45)..

Lakini kuna vitu naomba nikushauri ili uweze kuongeza ufanisi kwenye kazi yako..

Ambavyo ni:-

1. Saini maprodure zaidi ya 5 wenye mawazo tofauti kiutendaji, ili kuepusha migongano ya kimawazo kwenye kutengeneza midundo na ili kusaidia kutofautisha midundo..

2. Waruhusu vijana wako wafanye kazi na maprodure wengine ili kuepuka kufanya kazi kwa mazoea..

3. Tafuta ma-videographer wazuri hata wenye utaalamu wakushiti huku wanabalance sauti kwenye video, siyo camera ikisogea karibu na spika na sauti inaongezeka ikiwa mbali na sauti inapungua, inakera sana ya hadi spika zinakoroma, kama ilivyo sasa..

4. Kuhusu band yako jitahidi uchanganye watu wa back vocals wanawake na wanaume tofauti na sasa kuna wanaume tu,na pia watu wa saxaphone wawe angalau wawili.. Sikosoi band yako,umejitahidi sana hasa hii shoo ya full moon Zanzibar, pia tafuta wapigaji wa kale kakifaa ka kwenye ntampata wapi kanaleta ladha..

5. Kuhusu albam,nakuomba usiogope kuuza albam,unaweza kuziuza ukapata faida kubwa tu, mfano unaweza kuamua kwamba albam iuzwe ndani ya masaa matano tu,ukafungua maduka ya muda kama yale ya kanye west ndani ya hayo masaa, ukachagua kituo ya radio kwa promo hadi kifikia siku ya tukio la uuzaji wa hiyo albam, inapigwa promo kama ya white part ya zari..au unaandaa tamasha kubwa halafu siku hiyohiyo unauza albam..

6. Kuhusu studio, najua umewekeza mapesa mengi mpaka hapo ilipofikia,sikosoi na nakupongeza kwahilo ila jaribu kuweka iwe kwenye holi kubwa kama mbele kuliko ilivyobanana sasa.

Sina ushabiki ila yangu ni hayo tu.. Wadau mnaweza kuongezea nyama hapo.. Ntaleta mrejesho...

Karibuni wadau mchangie mawazo yenu..
 
Correction=Producer.
Kwasasa wcb wana maproducer wawili ambapo ni Tudd Thomas (hasa upande la live band na mpaka wasafiri ndio tudd anaambatana nao)na Lizer Classic...huyu ndiye hasa amesaini mkataba na WCB kama Producer..

Mawazo yako ni mazuri sana mkuu Jirani yetu..
Hasa hapo kwa upande wa back vocals wanawake wanahitajika kweli..
 
vizuri sana mawazo mazuri ndio maana shigongo anakwambia hatua za mafanikio ni... Kupokea wazo yani unaweza kuwa na wazo ila huna mtaji na unakuwa na mtaji lakini wazo huma
 
Tumechoka na nyimbo za ujanja ujanja za diamond, atengeneze nyimbo nzuri OVER
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Ushauri huu ndio tunaoutaka, kwani unajenga mziki wetu na msanii kwa ujumla
 
Hapo namba 5 naunga mkono ujue inabid 2017 ukienda show ya diamond usikie nyimbo mpya kama 15 hiv sio ukimwona kila siku itampa International shows zaidi...
Vingine akaze buti team WCB tupo kumsapot
 
Kwanza kabisa napenda kukupongeza juu mafanikio uliyoyafikia kimuziki na kimaisha,,na pia nikupongeze juu ya maamuzi yako ya kuanzisha label ya WCB na kuwekeza mamilioni ya mapesa ili kuwezesha vijana wenye vipaji kuonyesha manjonjo yao chini ya mikono yako. Lebo ya WCB ni label namba moja kwasasa Afrika mashariki, na imetengeneza ajira kwa vijana wengi(zaidi ya 45)..

Lakini kuna vitu naomba nikushauri ili uweze kuongeza ufanisi kwenye kazi yako..

Ambavyo ni:-

1. Saini maprodure zaidi ya 5 wenye mawazo tofauti kiutendaji, ili kuepusha migongano ya kimawazo kwenye kutengeneza midundo na ili kusaidia kutofautisha midundo..

2. Waruhusu vijana wako wafanye kazi na maprodure wengine ili kuepuka kufanya kazi kwa mazoea..

3. Tafuta ma-videographer wazuri hata wenye utaalamu wakushiti huku wanabalance sauti kwenye video, siyo camera ikisogea karibu na spika na sauti inaongezeka ikiwa mbali na sauti inapungua, inakera sana ya hadi spika zinakoroma, kama ilivyo sasa..

4. Kuhusu band yako jitahidi uchanganye watu wa back vocals wanawake na wanaume tofauti na sasa kuna wanaume tu,na pia watu wa saxaphone wawe angalau wawili.. Sikosoi band yako,umejitahidi sana hasa hii shoo ya full moon Zanzibar, pia tafuta wapigaji wa kale kakifaa ka kwenye ntampata wapi kanaleta ladha..

5. Kuhusu albam,nakuomba usiogope kuuza albam,unaweza kuziuza ukapata faida kubwa tu, mfano unaweza kuamua kwamba albam iuzwe ndani ya masaa matano tu,ukafungua maduka ya muda kama yale ya kanye west ndani ya hayo masaa, ukachagua kituo ya radio kwa promo hadi kifikia siku ya tukio la uuzaji wa hiyo albam, inapigwa promo kama ya white part ya zari..au unaandaa tamasha kubwa halafu siku hiyohiyo unauza albam..

6. Kuhusu studio, najua umewekeza mapesa mengi mpaka hapo ilipofikia,sikosoi na nakupongeza kwahilo ila jaribu kuweka iwe kwenye holi kubwa kama mbele kuliko ilivyobanana sasa.

Sina ushabiki ila yangu ni hayo tu.. Wadau mnaweza kuongezea nyama hapo.. Ntaleta mrejesho...

Karibuni wadau mchangie mawazo yenu..
Huu ndio ukosoaji tunao uhitaji.... sina cha kuongeza
 
Tumechoka na nyimbo za ujanja ujanja za diamond, atengeneze nyimbo nzuri OVER
hizo za ujanja ujanja ndio zinampa ugali we zako ambazo sio z ujanja ujanja n zipi?
note:kila mtu anapita njia yake sio lazma wote tufanane hata Afande sele the legend ameimba
chuki uliyonayo inakuponza
ova
 
Alitoka na nyimbo za ujanja, kwa sasa anaenda kubuma na nyimbo hizo. Eg:- kidogo dogo. Angalia nyimbo iliyovuja ya neyo ipo kawaida sana, mashabiki tunahotaj mzik mzuri
 
haha shabiki wewe mwenye chuki na wivu!fake shabiki
lakini sis really and loyal fans tunaona yuko bombastic yaani mnaona anaanguka lakn mwenzenu ndio kwanza anasimama
kwani kusema anaanguka mmeanza leo?
nyimbo za ujanja ndio swagga zake nandio maana Bwana misosi aliimba atoke vp? Diamond yeye katoka kijanjaaaaaa upo...na anatoboaaaa..
na ndio zinawafanya wasanii wote tz waumize vichwa kwa kutoa nyimbo nzur, bila nyimbo z ujanja za Diamond MTV /BET mngebaki kuzisikia kwny redioooom...
halafu nyimbo za kijanja kijanja ndio zinaipeperusha bendera ya Tz ...hzo zako nzuri zmeleta tukio gani jipya?
nyimbo z kijanja ndio zimetuletea manukato murua ambayo soon yataanza kupatikana kwnye maduka mengi nchini
Una jingine ndugu?
 
Bonge la ushauri, watanzania wote tungekuwa hivi tungekuwa mbali sana! Well said mkuu

Hope Diamond au management yake itapita hapa na kula madini
 
haha shabiki wewe mwenye chuki na wivu!fake shabiki
lakini sis really and loyal fans tunaona yuko bombastic yaani mnaona anaanguka lakn mwenzenu ndio kwanza anasimama
kwani kusema anaanguka mmeanza leo?
nyimbo za ujanja ndio swagga zake nandio maana Bwana misosi aliimba atoke vp? Diamond yeye katoka kijanjaaaaaa upo...na anatoboaaaa..
na ndio zinawafanya wasanii wote tz waumize vichwa kwa kutoa nyimbo nzur, bila nyimbo z ujanja za Diamond MTV /BET mngebaki kuzisikia kwny redioooom...
halafu nyimbo za kijanja kijanja ndio zinaipeperusha bendera ya Tz ...hzo zako nzuri zmeleta tukio gani jipya?
nyimbo z kijanja ndio zimetuletea manukato murua ambayo soon yataanza kupatikana kwnye maduka mengi nchini
Una jingine ndugu?
Me nimetoa maoni yangu ww unabishana, kama una maoni yako na ww toa, chibu asipochange tutampoteza hv karbun mark my words.

Swala la tuzo alishinda kwa sababu hizi :-
1). Alitoa nyimbo kali
2). Upigaji kula wa mtandaoni ulizingatiwa (sio kama mtv2016)
3). Ndo mara ya kwanza kuwa mtv so watz walitaka tuzo irudi home.

My take:-
Wasanii wabongo waache kutegemea kushinda kula kwa kula za mtandao eg:- instagrm, Twitter n.k badala yake watoe nyimbo kali hili tushinde tuzo hizo.
Kwann nasema wasitegemee mitandao?
Huu mfumo hautumiki tena angalia mifano hii:-
Eddy kenzo alikuwa na kula nyingi,
Diamond alikuwa na kula nyingi,
JPM alikuwa na kula nying lakn alishindwa juz tuu.

DIAMOND TUNATAKA MZIKI MZURI.
 
Back
Top Bottom