Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hahaha umezitaman ee
halafu inaonekana umejua hivi karibuni tu
sio kwa mi_ice cream ile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu inaonekana umejua hivi karibuni tu
sio kwa mi_ice cream ile
Ukitaka kuandika comment hapo kwenye send kuna vialama chagua hicho cha katikati kitakupeleka kwenye file la picha kisha utaupload kama kawaida,ili ijae screen yote utabonyeza full screen kisha click sendMm mpaka leo, kuweka picha humu kunanishinda mwenzenu
Ahsante my ntajaribuUkitaka kuandika comment hapo kwenye send kuna vialama chagua hicho cha katikati kitakupeleka kwenye file la picha kisha utaupload kama kawaida,ili ijae screen yote utabonyeza full screen kisha click send
Kwa thread au PMKwathread?, ama?
Ujaolewa bado tu Vero..[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Inawwzekana umri umenitupa mkono maana jana ndo nimetimiza niaka 25
hapo kwenye kujaribu weka picha yako tukuone mtoto mlittleAhsante my ntajaribu
aisee si mchezoHahaha umezitaman ee
Bora usijeHilo jukwaa LA Mambo ya wakubwa unaunganishwaje [emoji12]
Habari zenu, kama title inavyojieleza, pindi unajiunga na JamiiForums kwa mara ya kwanza nadhani kila mtu kuna vitu/ maneno yalimpa wakati mgumu sana. Hakika mimi mwenyewe kuna mambo/ maneno yalinipa shida Sana ndio nikaja kuyaelewa maana yake.
Mfano wa maneno hayo ni kama,
1. Msambwanda
2. Papuchi
3. Avatar
Wewe je?, ongezea tupanuane bongo.
Ehee Babe hunitaki huko jamnBora usije
JLW hawakai bibi na bwana kama kwny nembo ya taifaEhee Babe hunitaki huko jamn
Sasa hii itakua kwa mara ya kwanza bibi miss blossom na bwana Nokia83JLW hawakai bibi na bwana kama kwny nembo ya taifa
Njoo pm nkuombe kituSasa hii itakua kwa mara ya kwanza bibi miss blossom na bwana Nokia83
NakujaNjoo pm nkuombe kitu