Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
Sasa hii itakua kwa mara ya kwanza bibi miss blossom na bwana Nokia83
Njoo pm nkuombe kitu
JLW hawakai bibi na bwana kama kwny nembo ya taifa
Nyie Jf hawaruhusu mapenzi.Ehee Babe hunitaki huko jamn
Halafu ww miss unafuata nini kwa Nokia huyo kashapitwa na wakati. Njoo kwangu mimi Iphone