Maoni;ni vitu gani vilikupa wakati mgumu wakati unaingia ndani ya JF kwa Mara ya kwanza?

Mm mpaka leo, kuweka picha humu kunanishinda mwenzenu
Ukitaka kuandika comment hapo kwenye send kuna vialama chagua hicho cha katikati kitakupeleka kwenye file la picha kisha utaupload kama kawaida,ili ijae screen yote utabonyeza full screen kisha click send
 
Ahsante my ntajaribu
 
senior member...Jf expert member...gold member..verified user...n.k vilinipa tabu kuvijua mwanzoni
 
Nilikuwa nakereka sana na baadhi ya watu, ila sasa hivi hamna anayenipa shida, nshazoea maneno yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…