Samata hana la kupoteza ndo maana akija timu ya taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi.
Kuna mechi taifa stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake,mtu ligi kubwa anafunga magoli ,UEFA hadi liverpool anafunga ila mechi ya timu ya taifa anafunga penati tu,hata nusu ya Msuva hafikii hiyo namba 10 apewe hata ajibu.
Hana umuhimu kwako lkn yule mwenye degree 4 anaumuhimu kwake kwani anaenda kukesha uwanja was ndege kumsubiri samataSamata hana la kupoteza ndo maana akija timu ya taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi.
Kuna mechi taifa stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake,mtu ligi kubwa anafunga magoli ,UEFA hadi liverpool anafunga ila mechi ya timu ya taifa anafunga penati tu,hata nusu ya Msuva hafikii hiyo namba 10 apewe hata ajibu.
Hana umuhimu kwako lkn yule mwenye degree 4 anaumuhimu kwake kwani anaenda kukesha uwanja was ndege kumsubiri samata
Yaani mazee umeona kama mimi
Huyu dogo ni anazingua balaa na hana msaada kabisa taifa. Wamuache abaki Genk. Ukiangalia nguvu na morali anayoweka kule tofauti kabisa na ya stars aisee
Samatta tatizo lake anajiona mzungu.. anazingua sana.... nadhani jambo la kwanza asiwe captain.. kwa sababu captain gani analeta mizaha kwenye mambo serious?
Ona hawa nao... timu ikishinda hakuna lawama ikifanya vibaya basi samatta anabeba lawama zote... hebu acheni kumsimanga jamaa gem ya leo kaharibu refa na kessy sijaona kosa la samattaSamatta tatizo lake anajiona mzungu.. anazingua sana.... nadhani jambo la kwanza asiwe captain.. kwa sababu captain gani analeta mizaha kwenye mambo serious?
Hajafanya la maana kivipi au ulitaka aubebe mpira kwapani akimbie nao hadi kwenye nyavu? inaonekana hujui vizuri kazi ya second striker ndomana unalaumuMechi ya juzi walimtetea kwamba mpira una siku na siku,na Leo kafanya nini la maana
Kwani juzi timu baikushinda? Timu ilishinda na tukasema dogo kazingua.. mkaja ooh mpira na siku na siku.Ona hawa nao... timu ikishinda hakuna lawama ikifanya vibaya basi samatta anabeba lawama zote... hebu acheni kumsimanga jamaa gem ya leo kaharibu refa na kessy sijaona kosa la samatta
Anafanya mizaha sana.Hajafanya la maana kivipi au ulitaka aubebe mpira kwapani akimbie nao hadi kwenye nyavu? inaonekana hujui vizuri kazi ya second striker ndomana unalaumu
Samata Kama Messi tu
Ona hawa nao... timu ikishinda hakuna lawama ikifanya vibaya basi samatta anabeba lawama zote... hebu acheni kumsimanga jamaa gem ya leo kaharibu refa na kessy sijaona kosa la samatta