Maoni: Samatta ni mzigo Taifa Stars, aondolewe

Maoni: Samatta ni mzigo Taifa Stars, aondolewe

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Samatta hana la kupoteza ndio maana akija timu ya Taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi.

Kuna mechi Taifa Stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake, mtu ligi kubwa anafunga magoli, UEFA hadi Liverpool anafunga ila mechi ya timu ya Taifa anafunga penati tu, hata nusu ya Msuva hafikii hiyo namba 10 apewe hata Ajibu.
 
Samatta tatizo lake anajiona mzungu.. anazingua sana.... nadhani jambo la kwanza asiwe captain.. kwa sababu captain gani analeta mizaha kwenye mambo serious?
Samata hana la kupoteza ndo maana akija timu ya taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi.

Kuna mechi taifa stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake,mtu ligi kubwa anafunga magoli ,UEFA hadi liverpool anafunga ila mechi ya timu ya taifa anafunga penati tu,hata nusu ya Msuva hafikii hiyo namba 10 apewe hata ajibu.
 
Hana umuhimu kwako lkn yule mwenye degree 4 anaumuhimu kwake kwani anaenda kukesha uwanja was ndege kumsubiri samata
 
We ligi ya kule anapambana ufungaji bora huku anakimbia kimbia tu
Yaani mazee umeona kama mimi
Huyu dogo ni anazingua balaa na hana msaada kabisa taifa. Wamuache abaki Genk. Ukiangalia nguvu na morali anayoweka kule tofauti kabisa na ya stars aisee
 
Watu kwao mda wote wanakimbia kimbia mabom.. hawana amani hata kidogo.. wanapata wapi nguvu yakutufunga!!

Mbwana Samatta ni mzigo kwenye timu ya Taifa, ifike mahali kocha Ndayiragije achukue maamuzi magumu kama alivyofanya kwa Aishi Manula.
 
Samatta tatizo lake anajiona mzungu.. anazingua sana.... nadhani jambo la kwanza asiwe captain.. kwa sababu captain gani analeta mizaha kwenye mambo serious?
Ona hawa nao... timu ikishinda hakuna lawama ikifanya vibaya basi samatta anabeba lawama zote... hebu acheni kumsimanga jamaa gem ya leo kaharibu refa na kessy sijaona kosa la samatta
 
Sawa mkuu, ila sio kwa statement hyo.. Ya kusema unafurahi tukifungwa, uzalendo uko wapi mkuu.
Nadhani ni mda mwafaka wa kutoa ushauri kwa kocha ili ajue anafanya mini kama jamaa kweli analeta usharobaro in ground
 
Ona hawa nao... timu ikishinda hakuna lawama ikifanya vibaya basi samatta anabeba lawama zote... hebu acheni kumsimanga jamaa gem ya leo kaharibu refa na kessy sijaona kosa la samatta
Kwani juzi timu baikushinda? Timu ilishinda na tukasema dogo kazingua.. mkaja ooh mpira na siku na siku.

Vita ni vita haichagua siku...

Kama anajiona mzungu abaki huko atumikie mabeberu
 
Kwani timu ilipocheza na E.Guinea na kushinda hukuona threads za lawama kwamba hachezi kwa kiwango anachochenza nje?
Ona hawa nao... timu ikishinda hakuna lawama ikifanya vibaya basi samatta anabeba lawama zote... hebu acheni kumsimanga jamaa gem ya leo kaharibu refa na kessy sijaona kosa la samatta
 
Back
Top Bottom