Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mbona juzi alisemwa,hata uwanjani kama ulikuwepo wengi tulitaka atokeOna hawa nao... timu ikishinda hakuna lawama ikifanya vibaya basi samatta anabeba lawama zote... hebu acheni kumsimanga jamaa gem ya leo kaharibu refa na kessy sijaona kosa la samatta
VAR yenyewe inazingua,refa simlaumu mafaza wameiua timuDaaa ila Leo ndo nimewakubali wazungu kwa kitendo chao cha kuweka VAR
Wanaomzunguka Samatta pale T Stars wana viwango vya wale wa Genk?Samata hana la kupoteza ndo maana akija timu ya taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi.
Kuna mechi taifa stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake,mtu ligi kubwa anafunga magoli ,UEFA hadi liverpool anafunga ila mechi ya timu ya taifa anafunga penati tu,hata nusu ya Msuva hafikii hiyo namba 10 apewe hata ajibu.
Wivu tu unawasumbua...Samata hana la kupoteza ndo maana akija timu ya taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi.
Kuna mechi taifa stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake,mtu ligi kubwa anafunga magoli ,UEFA hadi liverpool anafunga ila mechi ya timu ya taifa anafunga penati tu,hata nusu ya Msuva hafikii hiyo namba 10 apewe hata ajibu.
A football player is as good as players around himJe viwango vya Genk ndo hivo anavyocheza taifa stars??? Tuanzie hapo pia
Hata ingekuwa mimi ningefanya kama anavyofanya Samatta.Yaani mazee umeona kama mimi
Huyu dogo ni anazingua balaa na hana msaada kabisa taifa. Wamuache abaki Genk. Ukiangalia nguvu na morali anayoweka kule tofauti kabisa na ya stars aisee
Sasa kama amefanikiwa, akae pembeni awaache wenzake wanaotafuta mafanikio sio kucheza yekeyekeMnataka mchezaji avunjike kisha mtoe pole zenu za kunafki zisizo na msaada ?msifananishe Samata na msuva ni mbingu na ardhi ,mchezaji anaingia orodha ya wachezaji bora Africa mnasema wamwache nyinyi wakina nani?mnao wafananisha na Samata waambieni wawe bora hata Africa tutawaelewa,Mnachotaka afanye nini cha zaidi ?acheze namba zote uwanjani ?
Shida sisi wabongo tunajidai kila kitu tunajua. Mtu hata mpira hajawahi cheza anasema samatta anazingua. unajua role yake alokuwa amepewa leo? unajua workrate yake leo uwanjani. Muachenk Samatta hakuna mchezaji kama Samatta kwa sasa Tanzania. Samatta ndo next levelHajafanya la maana kivipi au ulitaka aubebe mpira kwapani akimbie nao hadi kwenye nyavu? inaonekana hujui vizuri kazi ya second striker ndomana unalaumu