Maoni: Samatta ni mzigo Taifa Stars, aondolewe

Maoni: Samatta ni mzigo Taifa Stars, aondolewe

Ona hawa nao... timu ikishinda hakuna lawama ikifanya vibaya basi samatta anabeba lawama zote... hebu acheni kumsimanga jamaa gem ya leo kaharibu refa na kessy sijaona kosa la samatta
Mbona juzi alisemwa,hata uwanjani kama ulikuwepo wengi tulitaka atoke
 
Samatta katuangusha Sana watanzania. Haijalishi anaecheza ulaya au timu kubwa. Kapoteza mipira mingi, kaharibu movement za wazi nyingi sehemu ambayo angeweza kutoa pasi alikua anakokota uelekeo wa adui ambao ulipelekea apoteze mipira jitahidi.

Tunamlaumu samatta kwakua hakuonesha Hali ya kujituma na sababu kubwa ni kwamba alikua anaogopa majeruhi Sasa kwanini kipindi Cha pili tusimpumzishe ili aingie mchezaji mwenye hamasa na kujituma huenda angeongera Hari katika nafasi ile na kupelekea matokeo chanya.

Sio kwasababu samatta ni mchezaji mkubwa ndo hastaili kutoka lah! Hasha Kama anaonesha kabisa Hana morali unamtoa tu kwakweli Kama ataendelea hivi Basi mafanikio anayoyahitaji hatoyafikia kirahisi japo yapo baadhi mpaka Sasa hivi ameshayapata...
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Penalt ile imepigwa kiufundi sana,

Nakumbuka Penalty kama hii ilipigwa mwaka 1970 na Zicco kipindi Brazil wakiilaza Paraguay kwa mabao 2 kwa moja

Hongera Samata, Hongera Taifa Stars
 
UEFA anafunga goli kwa mabeki wa ambao ni mabingwa wa UEFA halafu africa anavizia penati,shame on him
 
[emoji23][emoji23][emoji23] This is sarcasim[emoji23][emoji23]...

Huyu jamaa anacheza asiumie,
 
Samata hana la kupoteza ndo maana akija timu ya taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi.

Kuna mechi taifa stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake,mtu ligi kubwa anafunga magoli ,UEFA hadi liverpool anafunga ila mechi ya timu ya taifa anafunga penati tu,hata nusu ya Msuva hafikii hiyo namba 10 apewe hata ajibu.
Wanaomzunguka Samatta pale T Stars wana viwango vya wale wa Genk?
Tuanzie hapo.
 
Samata hana la kupoteza ndo maana akija timu ya taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi.

Kuna mechi taifa stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake,mtu ligi kubwa anafunga magoli ,UEFA hadi liverpool anafunga ila mechi ya timu ya taifa anafunga penati tu,hata nusu ya Msuva hafikii hiyo namba 10 apewe hata ajibu.
Wivu tu unawasumbua...
 
Mnataka mchezaji avunjike kisha mtoe pole zenu za kunafki zisizo na msaada ?msifananishe Samata na msuva ni mbingu na ardhi ,mchezaji anaingia orodha ya wachezaji bora Africa mnasema wamwache nyinyi wakina nani?mnao wafananisha na Samata waambieni wawe bora hata Africa tutawaelewa,Mnachotaka afanye nini cha zaidi ?acheze namba zote uwanjani ?
 
Sasa kama amefanikiwa, akae pembeni awaache wenzake wanaotafuta mafanikio sio kucheza yekeyeke
 
Hajafanya la maana kivipi au ulitaka aubebe mpira kwapani akimbie nao hadi kwenye nyavu? inaonekana hujui vizuri kazi ya second striker ndomana unalaumu
Shida sisi wabongo tunajidai kila kitu tunajua. Mtu hata mpira hajawahi cheza anasema samatta anazingua. unajua role yake alokuwa amepewa leo? unajua workrate yake leo uwanjani. Muachenk Samatta hakuna mchezaji kama Samatta kwa sasa Tanzania. Samatta ndo next level
 
Back
Top Bottom