Maoni: Tahasusi mpya zimelenga kuwabeba waislamu hasa Wazazibar kuongeza ufaulu

Duc in altum

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
1,781
Reaction score
3,591
Ukiangalia kwa makini tatizo la elimu ya Tanzania sio tahasusi au masomo mapya.

Mtu anayesoma islam kuna degree gani inayo shabihiana na islam kwenye vyuo vikuu vyetu!?
Bora hata divinity mtu atasema anaenda kuchukua philosophy na haina uhusiano na ukristo wa moja kwa moja.

Hizo ni cutting point za kuwabeba waislam hasa wazazibar kwa sababu hao ndio kipaumbele cha awamu ya sasa.

Na zaidi ya hayo ni kutaka kuudhoofiasha Ukristo.
 
Vyuo viko vingi duniani.Hata online watu wanasoma.Na pia si mnasema waislamu hawataki kusoma,wanaishia madrasa,sasa wasiwasi wa nini tena,na wataishia madrasa.
 
Vyuo viko vingi duniani.Hata online watu wanasoma.Na pia si mnasema waislamu hawataki kusoma,wanaishia madrasa,sasa wasiwasi wa nini tena,na wataishia madrasa.
Si ndio maana serikali imeamua ilathimishe madrasa kwa kuihamishia kwenye mifumo rasmi ya eleimu madrasa na islam knowledge ni lugha tu madrasa kiswahili islam knowledge kingereza ila wote watasoma quran na kwa kiarabu
 
Itakuja futwa tu baada ya mama kizimkazi kuangukia pua 2025
 
Tafsiri yko ya uelewa imeishia kwenye udini udini
 
Tafsiri yko ya uelewa imeishia kwenye udini udini
Nikipewa reasonable fact za uwepo wa islam kwenye mitaala yetu naweza badilisha msimamo.
Haingii akilini watu wanasoma madrasa na wakati huo huo unaweka somo la islam kwenye mitaala.
Wale wao amini mizimu, shinto, budha, nk.
 
Umesoma ELIMU ya KIISLAMU VIZUR? Au chuki tuu zakutawala??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…