Maoni: Tahasusi mpya zimelenga kuwabeba waislamu hasa Wazazibar kuongeza ufaulu

Maoni: Tahasusi mpya zimelenga kuwabeba waislamu hasa Wazazibar kuongeza ufaulu

Mbona Bible Knowledge ipo kitambo sema Serikali waifanyie mchakato ipate combi Yake A level.
Bible knowledge Wameiondoa.

Serikali haina dini, na katiba yetu inasema hivyo.
Naamini serikali itarekebisha hili, au labda wameileta ili kukusanya maoni.
Inatia shaka sana umoja wetu km Taifa. Hizi mambo hazifai.
 
Wewe usiposilimu unamshughulisha nani miaka 5 mbele ulaya yote inaende kusilimu
Angalia uengereza Ufaransa na hata huko Marekani tafiti zaonesha UISLAMU ndio DINI inayokua Kwa Kasi sana pamoja na mateso yote wanayoyapata waislam
Makanisa mangapi uengereza yamegeuzwa misikiti

Watu washachoka kuuzima maji ya upako na kuibiwa pesa zao

Ukristo ni janga jipya la Dunia ukibisha REJEA SHAKAHOLA
Ndio itumike nguvu hivi?
Hii nchi tusipokuwa na umoja bila kubaguana kwa dini, rangi wala kabila tutaipasua.
Waislamu wasiwekwe km special group hili litaleta tatizo mbeleni
 
Wewe usiposilimu unamshughulisha nani miaka 5 mbele ulaya yote inaende kusilimu
Angalia uengereza Ufaransa na hata huko Marekani tafiti zaonesha UISLAMU ndio DINI inayokua Kwa Kasi sana pamoja na mateso yote wanayoyapata waislam
Makanisa mangapi uengereza yamegeuzwa misikiti

Watu washachoka kuuzima maji ya upako na kuibiwa pesa zao

Ukristo ni janga jipya la Dunia ukibisha REJEA SHAKAHOLA
Unaota wewe 🤣🤣
 
Hii dunia inawahitaji watu wenye mabega mapana wala sio wanaobebeshwa mizigo myepesi, muda utafika watapwaya tu Dunia sio ya Muhamad wala Pop.
 
Ukiangalia kwa makini tatizo la elimu ya Tanzania sio tahasusi au masomo mapya.

Mtu anayesoma islam kuna degree gani inayo shabihiana na islam kwenye vyuo vikuu vyetu!?
Bora hata divinity mtu atasema anaenda kuchukua philosophy na haina uhusiano na ukristo wa moja kwa moja.

Hizo ni cutting point za kuwabeba waislam hasa wazazibar kwa sababu hao ndio kipaumbele cha awamu ya sasa.

Na zaidi ya hayo ni kutaka kuudhoofiasha Ukristo.
Hebu achaneni na hayo mambo ya kipuuzi, mnashinda kutupigia kelele kila siku tahasusi, kwani wamekulazimisha usome hayo masomo ya waisilamu si usome tu dinivity yako?

Acheni ujinga.
 
Wewe usiposilimu unamshughulisha nani miaka 5 mbele ulaya yote inaende kusilimu
Angalia uengereza Ufaransa na hata huko Marekani tafiti zaonesha UISLAMU ndio DINI inayokua Kwa Kasi sana pamoja na mateso yote wanayoyapata waislam
Makanisa mangapi uengereza yamegeuzwa misikiti

Watu washachoka kuuzima maji ya upako na kuibiwa pesa zao

Ukristo ni janga jipya la Dunia ukibisha REJEA SHAKAHOLA
Hivi umo mwenye dini huwa mnaf..ana au mnalogwa kwanza, mbona mnaandika pumba sana kila mtu akivutia kwake.
 
Mimi nitaslim siku ya kuoa tu ili nipate ndoa ya Kiislam kwa mtoto alielelewa katika maadili ya kiislam na nikifa nizikwe kiislam.
 
Hakuna lolote la kuogopesha. Mtoto wako usipompa elimu sahihi, hatoboi. Dunia tunayozidi kuijongea haina longolongo. Kujua kichina au kiarabu inaweza kuwa added advantage..ila haina maana ndio last resolution
Kabisa mkuu hawa wanaamini lugha pekee anayo jua Allah ni kiarabu wameamua waweke package
 
Hebu achaneni na hayo mambo ya kipuuzi, mnashinda kutupigia kelele kila siku tahasusi, kwani wamekulazimisha usome hayo masomo ya waisilamu si usome tu dinivity yako?

Acheni ujinga.
Wewe ni nani hadi unyamazishe watu hapa jukwaani?
 
Attachments

  • Screenshot_20240322-163203.jpg
    Screenshot_20240322-163203.jpg
    337.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom