Maoni: Tahasusi mpya zimelenga kuwabeba waislamu hasa Wazazibar kuongeza ufaulu

Maoni: Tahasusi mpya zimelenga kuwabeba waislamu hasa Wazazibar kuongeza ufaulu

Ukiangalia kwa makini tatizo la elimu ya Tanzania sio tahasusi au masomo mapya.

Mtu anayesoma islam kuna degree gani inayo shabihiana na islam kwenye vyuo vikuu vyetu!?
Bora hata divinity mtu atasema anaenda kuchukua philosophy na haina uhusiano na ukristo wa moja kwa moja.

Hizo ni cutting point za kuwabeba waislam hasa wazazibar kwa sababu hao ndio kipaumbele cha awamu ya sasa.

Na zaidi ya hayo ni kutaka kuudhoofiasha ukristo.
Kuwekeza kwenye dini badala ya sayansi na ufundi ni kupeleka taarifa kwenye imani za miujiza badala ya kujikimu

Kwenye hili wizara ya fedha hamjatutendea haki
 
Hakuna lolote la kuogopesha. Mtoto wako usipompa elimu sahihi, hatoboi. Dunia tunayozidi kuijongea haina longolongo. Kujua kichina au kiarabu inaweza kuwa added advantage..ila haina maana ndio last resolution
Lugha ya a level daraaani haijawahi kumtoa mtu wkenye umasikini

Masomo ya life skills na vocation ndiyo yanawatoa wanetu
 
Ata kwa upanga siwezi silimu
Tatizo tulilonalo hapa ni wanasiasa kuchezea elimu yetu.
Wewe usiposilimu unamshughulisha nani miaka 5 mbele ulaya yote inaende kusilimu
Angalia uengereza Ufaransa na hata huko Marekani tafiti zaonesha UISLAMU ndio DINI inayokua Kwa Kasi sana pamoja na mateso yote wanayoyapata waislam
Makanisa mangapi uengereza yamegeuzwa misikiti

Watu washachoka kuuzima maji ya upako na kuibiwa pesa zao

Ukristo ni janga jipya la Dunia ukibisha REJEA SHAKAHOLA
 
Mbona Bible Knowledge ipo kitambo sema Serikali waifanyie mchakato ipate combi Yake A level.
Hiyo bible knowledge ipo lakini haitambuliki kwenye cheti hata islamic knowledge ilikuwepo nayo haikutambuliwa kwenye cheti.
Vyuo ulikuwa unaambiwa uwe na D mbili zisiwe za masomo ya dini.
Tofauti na sasa kulifanya kama somo kabisa
 
Lugha ya a level daraaani haijawahi kumtoa mtu wkenye umasikini

Masomo ya life skills na vocation ndiyo yanawatoa wanetu

Akili ndogo zikitamalaki ni shida. Tuwape watoto wetu elimu za kujitambua kupambana na changamoto za mazingira yao.
Hii ya kufikiria mtoto apate division one ili akasome chuo kikuu aje kuwa mtawala, imepitwa na wakati na itawaumbua wengi mbele ya safari.
Nakubaliana na wewe...VETA ina tija kubwa sana kuliko hizi elimu zetu za kulazimisha kila mtu awe degree holder
 
kila kitu lazima muwataje wazanzibari kwani bara hamna waislamu acheni mambo kikuma **** watanganyika
Mitanganyika ni mijitu iliyochanganyikiwa Haina dira washamba sana chuki zao Kwa wazanzibar ndio zilizotufanya waturejeshe nyuma nguruwe hawa
 
kila kitu lazima muwataje wazanzibari kwani bara hamna waislamu acheni mambo kikuma **** watanganyika
**** anayo mama yako.
Wanzabar mmetulia tuli hata zile kelele za hamuutaki muungano hazipo tunategemea utulivu huu uendelee hata raisi akiwa sio mzanzibar
 
Tunachinjana kama
SHAKAHOLA Kwa Mackenzie?
au kama KIBWETERE wa Uganda??

Ukiangalia sana, Kibwetele ni moja ya profile za chini sana zinazowakilisha wakristu. Zipo, ila kwenye kila mkusanyiko wa watu, wajinga wajinga huwa hawakosekani.
Watoto wetu tuwape elimu sahihi. Tukikosea kuwasomesha, tunaendelea kulalamika tunaonewa maisha yetu yote. Na wenye kuamua tunataka nini, ni sisi wenyewe
 
Mitanganyika ni mijitu iliyochanganyikiwa Haina dira washamba sana chuki zao Kwa wazanzibar ndio zilizotufanya waturejeshe nyuma nguruwe hawa
Dawa yenu inachemka tusisikie mnalilia kuuvunja muungano huku mmechukua mikopo kwa dhamana ya watanganyika
 
Kwani kuna MTU kalazimishwa kusoma.

Hapana. Tunapoona kitu kizuri lazima kukisifia. Elimu ya mtoto ni kitu kikubwa maana ndio urithi pekee unaoeleweka. Tusipowapa elimu sahihi, tusije kuwalaumu wengine.
Tutabakia kusema tunaonewa na kudhulumiwa...kumbe tumekosea kwenye mikakati
 
Back
Top Bottom