Maoni: Tahasusi mpya zimelenga kuwabeba waislamu hasa Wazazibar kuongeza ufaulu

Mbona Bible Knowledge ipo kitambo sema Serikali waifanyie mchakato ipate combi Yake A level.
Bible knowledge Wameiondoa.

Serikali haina dini, na katiba yetu inasema hivyo.
Naamini serikali itarekebisha hili, au labda wameileta ili kukusanya maoni.
Inatia shaka sana umoja wetu km Taifa. Hizi mambo hazifai.
 
Ndio itumike nguvu hivi?
Hii nchi tusipokuwa na umoja bila kubaguana kwa dini, rangi wala kabila tutaipasua.
Waislamu wasiwekwe km special group hili litaleta tatizo mbeleni
 
Unaota wewe 🤣🤣
 
Hii dunia inawahitaji watu wenye mabega mapana wala sio wanaobebeshwa mizigo myepesi, muda utafika watapwaya tu Dunia sio ya Muhamad wala Pop.
 
Hebu achaneni na hayo mambo ya kipuuzi, mnashinda kutupigia kelele kila siku tahasusi, kwani wamekulazimisha usome hayo masomo ya waisilamu si usome tu dinivity yako?

Acheni ujinga.
 
Hivi umo mwenye dini huwa mnaf..ana au mnalogwa kwanza, mbona mnaandika pumba sana kila mtu akivutia kwake.
 
Mimi nitaslim siku ya kuoa tu ili nipate ndoa ya Kiislam kwa mtoto alielelewa katika maadili ya kiislam na nikifa nizikwe kiislam.
 
Hakuna lolote la kuogopesha. Mtoto wako usipompa elimu sahihi, hatoboi. Dunia tunayozidi kuijongea haina longolongo. Kujua kichina au kiarabu inaweza kuwa added advantage..ila haina maana ndio last resolution
Kabisa mkuu hawa wanaamini lugha pekee anayo jua Allah ni kiarabu wameamua waweke package
 
Hebu achaneni na hayo mambo ya kipuuzi, mnashinda kutupigia kelele kila siku tahasusi, kwani wamekulazimisha usome hayo masomo ya waisilamu si usome tu dinivity yako?

Acheni ujinga.
Wewe ni nani hadi unyamazishe watu hapa jukwaani?
 

Attachments

  • Screenshot_20240322-163203.jpg
    337.7 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…