rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Kwamba siku Mungu akipenda ndio tupate umeme? 🤣🤣Tanesco apewe Mungu alisimamie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba siku Mungu akipenda ndio tupate umeme? 🤣🤣Tanesco apewe Mungu alisimamie.
HEri cheo chake kife manufaa hakinaHalafu nini kinabadilika? Si huwa anatoa tu ripoti na Hakuna hatua yoyote inachukuliwa?
Sahihi 100%Habari za leo
Kutokana na hujuma zinazoendelea katika Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa maoni yangu binafsi nashauri Shirika hili Mkurugenzi Mkuu apewe Mwanajeshi na liwe chini ya usimamizi jeshi.
Sababu kubwa ni uwepo wa nidham ya hali ya juu Jeshini hivyo wataweza kuwajibika na kuzuia michezo inaofanywa na Watendaji wanaohujumu uchumi wa Nchi kwa maslahi ya wachache.
Mfano ni hujuma za kuzuia maji yasijae katika mabwawa mbali mbali licha ya uwepo wa mvua nchini hoja hizi zimetolewa na baadhi ya Wabunge lakini kuna namna zinapotezewa
Hii pumba, umeme wa Tanzania unategemea gesi sio majiMfano ni hujuma za kuzuia maji yasijae katika mabwawa mbali mbali licha ya uwepo wa mvua
Kwamba jeshi ndio wana ufanisi, mbona walifanya ufisadi wa deep green? Pia walihusika na kutorosha madini chini ya ukuta wa mererani. Hakuna jipya hapoWafanyakazi wa tanesco wapumzishwe alafu jeshi liwe na kitengo cha umeme wa Taifa.Kuwe na kamandi moja ya umeme ikiwa na wataalamu waliosemeshwa na serikali hapo kama tupo siriazi basi tatizo la umeme tutasahau.
Hivi akili yako imeshindwa kuelewa kwamba rais ndiyo chanzo cha kukatika umeme?Habari za leo
Kutokana na hujuma zinazoendelea katika Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa maoni yangu binafsi nashauri Shirika hili Mkurugenzi Mkuu apewe Mwanajeshi na liwe chini ya usimamizi jeshi.
Sababu kubwa ni uwepo wa nidham ya hali ya juu Jeshini hivyo wataweza kuwajibika na kuzuia michezo inaofanywa na Watendaji wanaohujumu uchumi wa Nchi kwa maslahi ya wachache.
Mfano ni hujuma za kuzuia maji yasijae katika mabwawa mbali mbali licha ya uwepo wa mvua nchini hoja hizi zimetolewa na baadhi ya Wabunge lakini kuna namna zinapotezewa
Ni ujinga kudhani Kila kitu Jeshi linaweza.Habari za leo
Kutokana na hujuma zinazoendelea katika Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa maoni yangu binafsi nashauri Shirika hili Mkurugenzi Mkuu apewe Mwanajeshi na liwe chini ya usimamizi jeshi.
Sababu kubwa ni uwepo wa nidham ya hali ya juu Jeshini hivyo wataweza kuwajibika na kuzuia michezo inaofanywa na Watendaji wanaohujumu uchumi wa Nchi kwa maslahi ya wachache.
Mfano ni hujuma za kuzuia maji yasijae katika mabwawa mbali mbali licha ya uwepo wa mvua nchini hoja hizi zimetolewa na baadhi ya Wabunge lakini kuna namna zinapotezewa
Hoja ilikuwa ni kuingia au kutoingia!Halafu nini kinabadilika? Si huwa anatoa tu ripoti na Hakuna hatua yoyote inachukuliwa?
Wafanyakazi wa tanesco wapumzishwe alafu jeshi liwe na kitengo cha umeme wa Taifa.Kuwe na kamandi moja ya umeme ikiwa na wataalamu waliosemeshwa na serikali hapo kama tupo siriazi basi tatizo la umeme tutasahau.
Hata aingie kama Hakuna hatua inachukuliwa what difference does it make?Hoja ilikuwa ni kuingia au kutoingia!