SubTopic
Member
- Sep 15, 2021
- 95
- 175
Tanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha alikosea wapi na kama angetumia mbinu Fulani angepata matokeo chanya. Naamini kwa pamoja wakiunganisha mawazo yao kuifundisha timu ya taifa tutapata timu ya taifa nzuri sana na yenye ushindani mkubwa na hatimaye tutafikia mafanikio tuliyoyangoja kwa muda mrefu.
Nawasilisha.
Nawasilisha.